Je drafti ni kipimo sahihi cha IQ?

Kweli kabisaa...! Hakuna uhusiano wa kujua draft na kuwa na akilii....
Kuna watu wakiwa wanacheza draft wanasukuma kete kiboya zinaliwa sasa hao watakuwaje na IQ kubwa, yaani wanategwa mitego ya wazi bila hata kufunika na majani isionekane.

Mi naanini ivi..
"Mtu mwenye IQ kubwa anaweza kuwa fundi kwenye draft lakini kinyume chake sio sahihi"
 
Kabisaa...Sema me ndo nilishindwa kabisaa kujua next move za kucheza draft palee ilaa kuna watu wanapiga hesabu wanajua hili limeishaa
 
Kabisaa...Sema me ndo nilishindwa kabisaa kujua next move za kucheza draft palee ilaa kuna watu wanapiga hesabu wanajua hili limeishaa
Kujua limeisha iyo siyo akili, huko ni kukalili michezo, sasa kama unapita mulemule lazima unyonyolewe.
 
Kujua limeisha iyo siyo akili, huko ni kukalili michezo, sasa kama unapita mulemule lazima unyonyolewe.
kibongobongo mwenye akili ni yule awezaye kukalili rejea masuala ya shule hasa ukiwa form one watu wanavyokalili concept mbalimbali tena bila kuzielewa
 
Ukienda buguruni kule hakufai usicheze draft kama ww mgeni ,watu namaanisha wale watizamaji wanakutizama na wanatizama iq yako ipo vzr kwa kete yako ya mwanzo kucheza

Ukiona wanakugongea kete fulani au akitokea mtu na kufika akakugongea hio kete dah tafakari sana kabla ya kucheza

Kama hujui draft au uwezo wako wa kawaida pale buguruni usiende utapewa kejeli na watu wa kule wanajiona wajuaji.ukiona unagongewa kete ww simama sepa zako
 
....Sio kweli, kuna zwazwa moja hivi kila siku linanifunga kwenye huo mchezo ila mtaa mzima tunalijua kama jamaa zwazwa!
 
Kila kitu duniani ni experienc. Ukimaster basi.
 
Dih! AC za bungeni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwako Iq ni nini?
"The whole of cognitive or intellectual abilities required to obtain knowledge, and to use that knowledge in a good way to solve problems that have a well described goal and structure."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…