Je drafti ni kipimo sahihi cha IQ?

Bao vp? Sio kipimo? Maana ndo linachezwa na wazee
 
chase ndo kipimo cha IQ ndo maana wafalme karibia wote wa zamani walikuwa wanafunzwa kucheza huo mchezo
 
Sidhani ,maana kuna MTU namjua drafti ukigusa kete ya kwanza tu ,anakuambia rudia nitakufunga,na anakuonesha hadi kete yako ya NNE ya mchezo lkn ,darasani empty

Huyo jamaa,wanamjua ,msasani,kawe,mikocheni, kariakoo ,fundi kweli kweli wa draft
mtu mwenye IQ kubwa si lazima awe mkali darasani ni uwezo wa kufikirisha akili na kutatua mambo

cc Benjamin Netanyau
 
Kubeti Mpira was miguu ndio kipimo halisi cha IQ. Yaani kubashiri matokeo na matukio yajayo muda mfupi ujao kwa usahihi kutokana na mwenendo wa matokeo na matukio ya awali.
hata private investors(team betting) pia wanaa IQ kubwa??
 
Tapeli akitaka kuiba anatumia akili ya juu sana , nae ana IQ kubwa ?
 
Sidhani ,maana kuna MTU namjua drafti ukigusa kete ya kwanza tu ,anakuambia rudia nitakufunga,na anakuonesha hadi kete yako ya NNE ya mchezo lkn ,darasani empty

Huyo jamaa,wanamjua ,msasani,kawe,mikocheni, kariakoo ,fundi kweli kweli wa draft
Akili za darasani sio kipimo cha kuwa na iq.

Kuna watu wamefanya makubwa duniani na shule hawakuwa na uwezo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…