MWAISEMBA CR
Member
- Apr 21, 2014
- 86
- 78
JE DR SLAA NA LIPUMBA KWELI WALIKUWA WANA UCHUNGU NA NCHI AU WANANCHI?
Kama kweli wana uchungu kwanini waondoke na wakate tamaa na kuachana kabisa kujihusisha na mambo ya kisiasa yanayowahusu wananchi wao kwa makosa au unafki wanaouona wamefanyiwa na Vyama vyao?
Shujaa huwa hakati tamaa!!!!!Lowassa ndiye namuona ni shujaa maana hata pale alipoletewa fitina na viongozi wake wa juu hakusema naacha kuwatumikia wananchi kwa makosa aliyofanyiwa na viongozi wake bali alitafuta mahali pengine atakapoweza kutimiza dhamira yake ya kuwatumikia wananchi!!!
Kweli fitina za viongozi wenzako ndio zikutoe katika dhamira yako ya kuwatumikia wananchi?Bora uitafute kwingine kuliko kufanya kama alivyofanya Dr slaa na Lipumba!!!Maana tafsiri yake inaonyesha walikuwa na yao wanayoyatafuta sio kufanya matakwa ya wananchi!!!!Watu wachache au vingozi wachache hawawezi kukufanya usifikie dhamira yako!!!!!!Kufanya hivyo tayari wamepoteza sifa za kuwa Viongozi wa wananchi!!!
MTU KAMA MIMI NIKIMBIE?HAYO NI MANENO YA MTU WA VITA