flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
Huwezi kuwa na mtoto kama mimi lemutuz maana mimi nina akili darasani ..hata tukocompare vyeti hapa kuanzia O-level, A-level mpaka chuo wewe hunikamati kwa lolote,maybe kwa mashauzi ndio ckuwezi,na hao watoto ulionao wamebebwa na mke wako aliekutaliki na huna right hata ya kuwaona unaishia kujitapa tu,so huo umaarufu wako kunuka utaishia hvy hvy kubeba viatu vya wanaume wenzako,tena mtoto ambae unamzaa anakubebesha viatu,hizo degree 3 hazijakusaidia chochote.- hahahahahaha ningekuwa na mtoto kama wewe ningejiua maana mtoto anayefuatilia maisha ya wanaume asiowajua kwenye mitandao na majina ya bandia ni hasara kama sio liziki U know hahahahahahaha
le Mutuz
Naomba utunze heshima uliobakiwa nayo,kubishana na vijana au watu uliowazidi umri ni kujishushia heshima.
Huwezi kuwa na mtoto kama mimi lemutuz maana mimi nina akili darasani na ww ni mburulaz..hata tukocompare vyeti hapa kuanzia olevel,alevel mpaka chuo wewe hunikamati kwa lolote,maybe kwa mashauzi ndio ckuwezi,na hao watoto ulionao wamebebwa na mke wako aliekutaliki na huna right hata ya kuwaona unaishia kujitapa tu,so huo umaarufu wako kunuka utaishia hvy hvy kubeba viatu vya wanaume wenzako,tena mtoto ambae unamzaa anakubebesha viatu,hizo degree 3 hazijakusaidia chochote.
Mkuu with all due respect naomba kukuuliza tu kwa nia njema, viatu ulivyovishika kwenye hiyo picha ni vya nani?
Duuuuuuhh!! Jibu la mwendo kasi hahahahNdio Mmiliki wa minara yote ya simu!
Lemutuz usidanganye watu wewe hata bure ungekwenda kwa kupenda sifa huko,umeumbuliwa na yule dada mpaka nakuonea huruma wallah..then lemutuz eti ni kweli ulikwenda kwenye mazishi ya mama yako na pensi nyanya?maana kama ni kweli basi kuanzia leo nakuita LE MBURULAZZ maana itakua ni kituko ambacho hakijawahi kutokea duniani?- ni viatu vya Diamond vya kubadilisha akiwa kwenye Show, ninasema hata ningeambiwa kumbeba mabegani kwa hela niliyolipwa nisingejiuliza mara mbili sawa boss hahahahahahahahah
le Mutuz
Kwa maoni yangu next time kazi hii muachie baunsa wake afanye, Degree tatu uzitendee haki sidhani kama ulilipwa na Vodacom kwenda kufanya kazi hiyo.- ni viatu vya Diamond vya kubadilisha akiwa kwenye Show, ninasema hata ningeambiwa kumbeba mabegani kwa hela niliyolipwa nisingejiuliza mara mbili sawa boss hahahahahahahahah
le Mutuz
Kwa maoni yangu next time kazi hii muachie baunsa wake afanye, Degree tatu uzitendee haki sidhani kama ulilipwa na Vodacom kwenda kufanya kazi hiyo.
Hapana brother pesa si kila kitu katika maisha, maana tukiendekeza pesa ipo siku tutaambiwa tuinamishwe tupigwe pipe na tutakubari in the name of making money.
Hapa umekosea rekebisha hili kwa nia njema. Ukiniona na mimi ni akili ndogo hewala Boss.
kuwa na adabu jembe huyo ni mtu mzima kuwa na heshimaInawezekana ni kweli unahemewa kisogoni.
Lemutuz usidanganye watu wewe hata bure ungekwenda kwa kupenda sifa huko,umeumbuliwa na yule dada mpaka nakuonea huruma wallah..then lemutuz eti ni kweli ulikwenda kwenye mazishi ya mama yako na pensi nyanya?maana kama ni kweli basi kuanzia leo nakuita LE MBURULAZZ maana itakua ni kituko ambacho hakijawahi kutokea duniani?
Degree tatu anabeba viatu?mimi moja tu wallah boss wangu simbebei viatu labda aniombe tena hapo nitajifkiria..wallah hizi pesa zitatupeleka pabaya..bora upate kidogo ila ukiwa umeridhika utaishi maisha mazuri kuliko huyu anaesumbuliwa na stress za maishaKwa maoni yangu next time kazi hii muachie baunsa wake afanye, Degree tatu uzitendee haki sidhani kama ulilipwa na Vodacom kwenda kufanya kazi hiyo.
Hapana brother pesa si kila kitu katika maisha, maana tukiendekeza pesa ipo siku tutaambiwa tuinamishwe tupigwe pipe na tutakubari in the name of making money.
Hapa umekosea rekebisha hili kwa nia njema. Ukiniona na mimi ni akili ndogo hewala Boss.
Nani kakuambia ni mtu mzima? Unajua sifa za kuitwa mtu mzima? Uwezi kuchekacheka ovyo ukaitwa mtu mzima.kuwa na adabu jembe huyo ni mtu mzima kuwa na heshima
Kwakweli am speechless, kama Degree zenyewe ndio hizi basi watoto wangu bora niwapeleke VETA mapema wasipoteze muda wao kwenye elimu ambayo haitowakombowa.Degree tatu anabeba viatu?mimi moja tu wallah boss wangu simbebei viatu labda aniombe tena hapo nitajifkiria..wallah hizi pesa zitatupeleka pabaya..bora upate kidogo ila ukiwa umeridhika utaishi maisha mazuri kuliko huyu anaesumbuliwa na stress za maisha
Nani kakuambia ni mtu mzima? Unajua sifa za kuitwa mtu mzima? Uwezi kuchekacheka ovyo ukaitwa mtu mzima.
Uwezi kuongea ujinga ukaitwa mtu mzima. Kuwa na umri mkubwa sio kuwa mtu mzima. Unaweza kuwa na miaka 56 lakini ukawa na akili za kitoto.
Wewe mwenzangu unalipwa kila comment, mimi am no body, majibu uliyonijibu yamejitosheleza, au una lingine?- Mbona hujagusia kuhusu pipe au nimegusa Ikulu? hahahahahahahahahaha
le Mutuz
Ndio akili za mtu mwenye miaka 50+ , Mungu akurehemu.- Mbona hujagusia kuhusu pipe au nimegusa Ikulu? hahahahahahahahahaha
le Mutuz
Kweli wewe..yaani kweli.....,ungekwenda na chupi basi kama coz bible haijasema..yule ni mama yako kijana..ulimtenga wakati wa maisha yake basi hata amefariki unamdharau kwa kumwendea na pensi nyanya?- eti mstari upi wa bilblia unazungumzia nguo za kuzikia? hahahahahahaha yaani humu kumejaa mburulazzz mpaka inatisha sana hahahahahahaha
le Mutuz
Aisee nashangaa povu linavyomtoka!! Nnachomkubali le mutuz yani wewe tukana uwezavyo ila mwenzako amerelax tu tena anaanza kukujibu kwa kicheko hahahahahahah..Bro mbona umepanic sana povu la nn matus yote haya kwa kosa gan alilofanya anyway watu Kane wote ila sio marehem after all mwanaume kamili hatukan mitandaon unless unihakikishie kuwa ww ni mwanamke na una wivu wa kimapenz na le mutuz