Je debe moja la dagaa lina kilo ngapi?

Je debe moja la dagaa lina kilo ngapi?

WHITE HOUSE

Member
Joined
May 8, 2016
Posts
22
Reaction score
20
Wakuu napenda kufanya biashara ya dagaa wa Mwanza,
Lakini naomba msaada kwa anayejua debe moja la dagaa wakavu wa mwanza lina kg ngapi?
Maana natarajia kuwauza kwa kg
 
dagaa zina msimu xo kuna kupanda na kushuka inategemea na muda wenyewe mfano kipindi cha upepo mkali kuanzia mwezi wa 6 had 9 hua dagaa ni adimu pia kukiwa na mwezi mkubwa dagaa ni adimu pia xo price inapanda. kwa kawaida kitini cha dagaa hua 6,000 nadi 10,000.
 
hujajibu swali
 
Back
Top Bottom