Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 562
Shukrani amino acid bei gan wanauza na pills ngap inafaa nitumieJitahidi ule misosi yenye protein kwa wingi, itakusaidi katika muscle recovery
Samaki, nyama, maziwa, mayai nk na misosi yenye Fat mkuu. Hapa utapata calories za kuburn wakati una workout.
zingatia sana
Hizi supplements ni kama za ziada tu hupaswi kuzitegemea zenyewe pasipo lishe
Ndio maana zikaitwa "supplements".
Kwa supplements nitaku recommend Russian bear au Amino Hardcore.
Amino hardcore tafuta wanauza kati ya 90,000 ~ 140,000 nakutumia namba ya jamaa pm anzo aina tofauti jiridhshe kwanza pokea mzigo ndipo ulipe pesaShukrani amino acid bei gan wanauza na pills ngap inafaa nitumie
Nitumie hii noAmino hardcore tafuta wanauza kati ya 90,000 ~ 140,000 nakutumia namba ya jamaa pm anzo aina tofauti jiridhshe kwanza pokea mzigo ndipo ulipe pesa
Ningekuwa na uwezo wa kurudisha muda nyuma, basi ningefanya hivyo na kurudi kwenye wembamba wangu wa asili.Habari zenu wakuu nilikuwa nauliza creatine monohydrate inafaa kwa kujaza body kwa mimi mtu mwembamba maana upper body imeisha sana nilianza gym lakini sijai wala nini hivi hizi supplement (poda) zinamsaada na hazina madhara kwa mtumiaji.
Watu waliniambia nitumie creatine monohydrate ya vidonge nikweli inanifaa nina kilo 65 lakini mikono membamba nataka kujaa kiasi.
Ushauri wenu muhimu wataalam wa gym na powder.
Kg 65Nitumie hii no
Umeelewa mzeeKg 65
Kama unatak misuli,punguza mafuta mwilini na acha kula vyakula vyenye wanga sana na sukari.
Fanya mazoezi ya asubuh mara mbii kwa week na week,kula protien nyingi na carbs kidogo,mboga za majani kwa wingi na matunda kama unauwezo tumia mafuta ya olive oil kupikia chakula chako.
Tumia whey kama shake kwa asubuh na jion,unaweza changanya na maji au maziwa ila maziwa nunua yale ya low fat.
Mm sio mwandishi mzuri kama kuna sehemu hujaelewa niulize.