CS si ya kitoto kiongozi japo hawa ni kaka na dadaHizo field zote zinataka mtu ajitoe haswa kusoma kibongo bongo IT wanasoko zaiidi ya CS japo ukiangalia covered modules zao wakiwa vyuoni zinalandana sana, All in All mwajili haangalii una CS au IT kinachoangaliwa ni unaweza kufanya nini ndani ya izo field
That's my boy..!! Ahsante sana mkuu JoeKabla ya kufikiria hizo course,kichwani chagua unataka kufocus katika nini (networking,programming,Database nk) na ukishajijua unatakuwa usome mwenyewe zaidi kuliko kusoma notes za darasani.Ukishamaliza basi leo kesho unapata kazi.
Tatizo la watu IT mpaka mtu anamaliza hajui anajua nini kila kitu ukimuuliza utamsikia "hiki najua jua",katika industry ya IT unatakiwa UJUE HASWA ,asikudanganye mtu hamna kazi zinazolipa vizuri kama za IT haswa ukiwa deep na zipo nyingi,tatizo wabongo wengi hawazipati sababu wapo shallow.
Narudia tena hii point uiweke kichwani "UNATIKIWA USOME SANA WW MWENYEWE KULIKO KUKOMAA NA SLIDE ZA DARASANI,KUNA YOUTUBE TUTORIALS KIBAO,KUNA VITABU KIBAO NA SOFTWARE KWA AJILI YA PRACTICAL",soma haswa kuna vijana wapo below 30 wanakula zaidi ya mil 4 per month,SOMA ACHA KUPOTEZA MUDA KWA MAMBO YA KIJINGA UKIWA CHUONI.Ukiwa fiti zaidi unaweza hata ukajiajiri mwenyewe.
IT je???CS atadeal na
anatomy of digital computer
Data processing
Computer software
Operating system
Data communication and networking
Fundamental of internet and Java programming
Control statements
Inheritance extending classes
Classes objects with constructors and destructors
Computing exploration in language, logic, and machine
Foundation of computer science
Pointer
File
OOP
Root
Philosophy of computer science
.
.
.
.
.
List goes on
IT mara nyingi anadeal na hardware sana ingiwa software zipo pia Kama issue za database installation hapa ni hardware na software vile vile servers nk.IT je???
Hahahh, poasio mimi muhitaji! pia kama nimimi siwezi soma medicinne kwakua
ila kwa mimi ningepata nafasi ningesoma CS
- Naogopa vidonge
- sipendi harufu ya vidonge
- naogopa kuangalia mtu anayeumwa.
Tofauti ni majina tuu.. nakushauri angalia content za kozi ndipo uchague.Habari...
kwenu wataalamu
Kuna dogo wa jirani yupo njiapanda kuhusu hivi vitu, anataka kusomea kuhusu Computer ila hajui achague kipi, sielewi chochote kuhusiana na computer ndio nahitaji mnisaidiei.....!
Je Kati ya Computer science na I.T ipi nzuri zaidi akisoma? lipi soko lake la ajira au kujiajiri lipi liko vizuri zaidi? ajiandae na nini ili kusoma fani hiyo?fani ipi inamtegemea mwenzake katii ya hizi mbili? nk nkk
Naomba mnipe evaluation ya kila kozi hapo then nimpatie achague atakachoona kimemvutia.
Ahsante..
Good analysis.IT mara nyingi anadeal na hardware sana ingiwa software zipo pia Kama issue za database installation hapa ni hardware na software vile vile servers nk.
Kiujumla zinaenda fulani hivi...
Kwa Africa akichukua IT itamlipa kwasababu sisi tunapokea kutoka ulaya Yaan ni end-user au consumers
Ila hii ya CS ku write powerful software ambazo tu nakuja zitumia sisi na nafasi zake hizi sio mingi sana zinapatikana kwenye vitengo haswa haswa..
IT bila computer scientists ni hamna kitu...
IT - end-user
CS - producer
CS anaweza fanya kazi za IT
Aende CS, IT ni sehemu ya CS inayodili na networkingHabari...
kwenu wataalamu
Kuna dogo wa jirani yupo njiapanda kuhusu hivi vitu, anataka kusomea kuhusu Computer ila hajui achague kipi, sielewi chochote kuhusiana na computer ndio nahitaji mnisaidiei.....!
Je Kati ya Computer science na I.T ipi nzuri zaidi akisoma? lipi soko lake la ajira au kujiajiri lipi liko vizuri zaidi? ajiandae na nini ili kusoma fani hiyo?fani ipi inamtegemea mwenzake katii ya hizi mbili? nk nkk
Naomba mnipe evaluation ya kila kozi hapo then nimpatie achague atakachoona kimemvutia.
Ahsante..
Uko sahihi!Kabla ya kufikiria hizo course,kichwani chagua unataka kufocus katika nini (networking,programming,Database nk) na ukishajijua unatakuwa usome mwenyewe zaidi kuliko kusoma notes za darasani.Ukishamaliza basi leo kesho unapata kazi.
Tatizo la watu IT mpaka mtu anamaliza hajui anajua nini kila kitu ukimuuliza utamsikia "hiki najua jua",katika industry ya IT unatakiwa UJUE HASWA ,asikudanganye mtu hamna kazi zinazolipa vizuri kama za IT haswa ukiwa deep na zipo nyingi,tatizo wabongo wengi hawazipati sababu wapo shallow.
Narudia tena hii point uiweke kichwani "UNATIKIWA USOME SANA WW MWENYEWE KULIKO KUKOMAA NA SLIDE ZA DARASANI,KUNA YOUTUBE TUTORIALS KIBAO,KUNA VITABU KIBAO NA SOFTWARE KWA AJILI YA PRACTICAL",soma haswa kuna vijana wapo below 30 wanakula zaidi ya mil 4 per month,SOMA ACHA KUPOTEZA MUDA KWA MAMBO YA KIJINGA UKIWA CHUONI.Ukiwa fiti zaidi unaweza hata ukajiajiri mwenyewe.
IT ni branch ya CSIT mara nyingi anadeal na hardware sana ingiwa software zipo pia Kama issue za database installation hapa ni hardware na software vile vile servers nk.