Je, CHADEMA wanayo kamati ya maadili?

Je, CHADEMA wanayo kamati ya maadili?

Eti Mkapa ndo mzee wa maadili...
Lengo la Mkapa lilikuwa ni kuhakikisha jina la kijana wake JP linapita na JK bila kujua akaingia mkenge. Kazi ya kwanza ya JP ni kutoa msamaha kwa kaka zake Yona na Mramba.
 
Najua CCM wanayo kamati ya maadili kikatiba sasa nauliza tu kwa anayejua kama chadema wanayo pia? Angalizo: hii ni tofauti na 'kitengo' maana hili neno Kingunge kalitoa pale ubungo stand alipokuwa anakusanya ushuru. Pale ndio pana kitengo kisicho rasmi kinachoratibu wapigadebe wa DSM yote na kufanya maamuzi yakiwemo kuratibu migomo ya drivers. Mimi naulizia kamati rasmi inayotambuliwa kazi zake kikatiba! Jibu kwa upole bila mapovu!!
So what?!!!!! Mliyonayo ccm ndiyo kamati ya maadili? maadili gani? Maadili ya kukidhi matakwa ya wakuu? Maadili ya kulinda wezi na mafisadi na kuonea wanyonge? maadili ya kukusanyana ndani ya familia za watu usiku na kupeana rushwa za uchaguzi? Hayo ndiyo maadili manayotaka chadema tuwe nayo? Maadili? Maadili ya kulinda wake wa maraisi wafungue NGO za kuiibia serikali na wanyonge? Maadili hayo? Maadili yakulinda watoto wa wakubwa waingize dawa za kulevya nakuwaua maskini? Hayo ndiyo maadili unayosema? Hebu niambie, hayo ndiyo maadili unayotaka chadema wawe nayo?
 
Back
Top Bottom