Je, CHADEMA wanayo kamati ya maadili?

Je, CHADEMA wanayo kamati ya maadili?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,522
Najua CCM wanayo kamati ya maadili kikatiba sasa nauliza tu kwa anayejua kama chadema wanayo pia? Angalizo: hii ni tofauti na 'kitengo' maana hili neno Kingunge kalitoa pale ubungo stand alipokuwa anakusanya ushuru.

Pale ndio pana kitengo kisicho rasmi kinachoratibu wapigadebe wa DSM yote na kufanya maamuzi yakiwemo kuratibu migomo ya drivers. Mimi naulizia kamati rasmi inayotambuliwa kazi zake kikatiba!

Jibu kwa upole bila mapovu!!
 
Nikuulize swali rahisi sana; kuwa na Kamati ya Maadili bila maadili au kuwa na maadili bila Kamati ya Maadili kipi cha muhimu? Una macho huoni; una masikio husikii. Kusoma hujui hata picha nayo huelewi? Anyway, nenda pale Ufipa utajibiwa swali lako.
 
kamati ya maadili iko kwa mapanya buku lumumba.Chenge na tibaijuka wanaiongoza
 
Inwasaidia nini hiyo kamati wkati yenyewe haina maadili kwenye chama chenu cha magamba?
 
CHADEMA inawashughulikia instantly wanaoonesha kukosa maadili, waulize wakina Kitilya, Zito, Samson na wale madiwan wa Arusha. hatubembelez mtu
 
chadema inawashughulikia instantly wanaoonesha kukosa maadili, waulize wakina Kitilya, Zito, Samson na wale madiwan wa Arusha. hatubembelez mtu
 
Najua CCM wanayo kamati ya maadili kikatiba sasa nauliza tu kwa anayejua kama chadema wanayo pia? Angalizo: hii ni tofauti na 'kitengo' maana hili neno Kingunge kalitoa pale ubungo stand alipokuwa anakusanya ushuru.

Pale ndio pana kitengo kisicho rasmi kinachoratibu wapigadebe wa DSM yote na kufanya maamuzi yakiwemo kuratibu migomo ya drivers. Mimi naulizia kamati rasmi inayotambuliwa kazi zake kikatiba!

Jibu kwa upole bila mapovu!!

Ya nini? Kwani umeambiwa chadema kuna mafisad? Waliokosa uadilifu wametupwa.
 
chadema inawashughulikia instantly wanaoonesha kukosa maadili, waulize wakina Kitilya, Zito, Samson na wale madiwan wa Arusha. hatubembelez mtu

Mbona Slaa alipomwacha mkewe na kuchukua kimada Mushumbusi hiyo kamati mbona haikumshughulikia? Mbowe alipomzalisha Joyce Mukya mbona hiyo kamati haikumshughulikia?
 
Najua CCM wanayo kamati ya maadili kikatiba sasa nauliza tu kwa anayejua kama chadema wanayo pia? Angalizo: hii ni tofauti na 'kitengo' maana hili neno Kingunge kalitoa pale ubungo stand alipokuwa anakusanya ushuru.

Pale ndio pana kitengo kisicho rasmi kinachoratibu wapigadebe wa DSM yote na kufanya maamuzi yakiwemo kuratibu migomo ya drivers. Mimi naulizia kamati rasmi inayotambuliwa kazi zake kikatiba!

Jibu kwa upole bila mapovu!!

Katiba ya CHADEMA iko online fungua uisome mkuu. Hata hivyo, kila chama kina kanuni na taratibu zake. Sio lazima katiba za vyama vyote zifanane na katiba ya CCM
 
hahahahaha kamuulize zitto atakwambia kuna kamati ya maadili au haipo asipokujibu mtafute kitila na mwigamba wanajua mziki wake haiitaji vikamati
 
wote wanamaadili ... hawahitaji kamati ya maadili isiyofuata maadili ..
 
Mbona Slaa alipomwacha mkewe na kuchukua kimada Mushumbusi hiyo kamati mbona haikumshughulikia? Mbowe alipomzalisha Joyce Mukya mbona hiyo kamati haikumshughulikia?

Mambo binafsi ya chumbani kwa mtu imetupunguzia au kutuongezea nn katika taifaletu?Angalia vitu vinavyotuletea umaskini katika nchi yetu kama ufisadi,uwizi,yaani namaanisha RICHMOND,ESCROW,HEPA,STANBIC,DOANS.+tibaijuka pesa za mboga,chenge pesa za nyanya,tumekua maskini kwa ajili ya hayo.ss akizaaa na huyo dada itapunguza tembo?
 
Mbona Slaa alipomwacha mkewe na kuchukua kimada Mushumbusi hiyo kamati mbona haikumshughulikia? Mbowe alipomzalisha Joyce Mukya mbona hiyo kamati haikumshughulikia?

Na wewe hiyo kamati ya maadili mbona ilimwachia Malima alipoibiwa na changudoa, na mwenyekiti wako kuoa mtoto mdogo
 
Kuna kitengo maalum cha redbrigade maalum kwa kurusha VITOFA VYA KICHWA.

Na kwa mujibu wa aliekuwa mlinzi binafsi wa mzee Slaa ni kwamba pale Ufipa wamepewa na Mbowe kachumba kadogo kakutekeleza majukumu yao ya kilasiku.
 
Back
Top Bottom