Je, CHADEMA wanaoingia CCM ni kweli wanaipenda?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,293
Reaction score
13,960
Je, Chadema wanaoingia CCM ni kwenye wanaipenda. Msiyoyajua kichini chini wengine ndiyo wapeleka habari kwa Chadema.

Mfano moyoni Kitila ambaye alipelekwa Chadema anawapa habari nyingi sana marafiki zake wakina Lema na Heche. Kuna wengine wengi tu ambao sio wanachadema lakini ni wapinzani wa siri.

Hawa madada wa Mara wameingingia CCM kwasababu ya maslahi ya pesa na kipato wangekuwa matajiri wasingeenda CCM lakini wanategemea mapato ya ubunge.

Lakini huwezi kuniambia wanapenda CCM hivyo. Lakini tuwaombe wawe wazalendo na kupindua vitu huko kwa manufaa ya umma
 
Watu wanasaka fursa!
 
Back
Top Bottom