Je, CHADEMA ni vigeugeu?

Idad ya vit bungen nacho n kigezo, Kama ruzuku inajumuisha Wabunge inaowakataa, 19+1 na inachukua ruzuku yao, tumia akili usiongozwe na emotions πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbowe ameongelea vizuri sana hili swala.... Issue ya kina Halima Mdee haipewi uhalali sababu haikufuata misingi ya sheria na kanuni zilizopo so whether uchaguzi ni halali au sio halali mchakato uliowapata haukuwa halali.

Hao ACT walifuata taratibu zote kisheria kuwa SUK (hata kma wengi hatujapenda) so hata ruzuku kma wamechukua imefuata taratibu zote kisheria but hao kina halima walijiteua wenyewe na waka collude na serikali/bunge ili wakaapishwe.

So hata itokee leo CHADEMA wakubali ruzuku bado hawawezi verify ubunge wa kina Mdee sababu mchakato haukufuatwa. Na ndio maana Mbunge wa Nkasi hakufukuzwa sababu yye kisheria ni mbunge halali so kma atatimuliwa ni sababu ya ukaidi tu sio kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…