William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
I mean mbona inaonekana kama they were more effective kuliko sisi wenye akili sana katika kuipigisha magoti serikali na TANU/CCM?
Field Marshall ES,
I disagree with you on those 5 words with red font above. the rest of the post I'm with you!
- Kasheshe, thanks fafanua japo kidogo ndugu yangu sijakupata1
Respect.
FMEs!
kasheshe,Nina maanisha sidhani kama sisi tuna akili sana kuliko vijana wa Zamani... mimi nadhani walikuwa na akili zaidi yetu.... ni hayo tu mkuu....
Nina maanisha sidhani kama sisi tuna akili sana kuliko vijana wa Zamani... mimi nadhani walikuwa na akili zaidi yetu.... ni hayo tu mkuu....
Nilidhani FMES aliteleza tu....Hata hivyo sikubalini na wewe wala yeye kwenye pointi hii kuhusu kuwa "Hawa walikuwa na akili zaidi ya wale" kutokana na sababu hizo alizozitoa FMES kuhusiana na yanayotokea kwenye siasa za Taifa letu.
Kama Taifa halina dira wala mwelekeo,hakuna mwenye akili wala nani atakayeweza kufanyiwa tathmini kwa chochote kile kuhusiana na mwelekeo wowote ule,kwa mantiki hiyo basi,ni bora tuangalie hiyo situation ya kutokuwa na dira wala mwelekeo ilianzia wapi haswa,ndipo utakuja kuona ni kama mbio za vijiti tu wamepokezana na hakuna cha kusema kuna waliokuja wapya ambao hawafanyi vizuri kama wale waliokuwepo before kwasababu it is simply a race to nowhere!Certainly everything is now different,the way we run our politics na mambo mengi tu,tena tuna multiparty sasa and that should also be put into consideration.
Nakubali mkuu kuhusiana na uzalendo wa watu hao,lakini mwalimu alikuwa na hofu kubwa zaidi na wapinzani wake nyakati hizo kwasababu kulikuwa na upinzani mkubwa sana kati ya ubepari na socialism,wapinzani wake wa ndani waliliona hilo na wali exploit situation,hata situations kama za Kambona kupewa ukimbizi nk ni mfano hai,ndio maana nikasema hapo nyuma kuwa tofauti na sasa ni kuwa nchi imeuzwa na ndiyo maana hata nchi wafadhili wanatoa sifa tu licha ya ufisadi wa wazi wazi ambao ushahidi upo hadi nchini mwao.- Mkuu Mushi, tusikimbie vivuli vyetu, tumefanya nini serious cha kuwashitua CCM kwamba we are dead serious? Tizama wazee wa zamani kina Jumbe, Seif na Bakari kidogo wavunje Muungano, maambo yalimalizwa kichini chini lakini fukutu lake wote tulilipata, kina Omar Juma wakapewa umakamu wa Rais wa Jamhuri!
- Au kutaja majina ya mafisadi ndio a serious one? I mean tukubali ukweli tu kwamba wa zamani walikuwa wametuzidi maarifa kina Abdulrahman Babu, Mhafudh hao walikuwa moto wa kuotea mbali sana, sio kina Mrema waganga njaa!
- Mushi ulizia kina Anangisye, Chipaka, Bibi Titi, kina Bayona hawa hawakuwa kama sisi blah! blah! tu wao waliitikisa serikali na ikawasikiliza, inasadikiwa hao ndio waliompelekea Mwalimu kuondoka mapema kwenye power!
Respect.
FMEs!
Nakubali mkuu kuhusiana na uzalendo wa watu hao,lakini mwalimu alikuwa na hofu kubwa zaidi na wapinzani wake nyakati hizo kwasababu kulikuwa na upinzani mkubwa sana kati ya ubepari na socialism,wapinzani wake wa ndani waliliona hilo na wali exploit situation,hata situations kama za Kambona kupewa ukimbizi nk ni mfano hai,ndio maana nikasema hapo nyuma kuwa tofauti na sasa ni kuwa nchi imeuzwa na ndiyo maana hata nchi wafadhili wanatoa sifa tu licha ya ufisadi wa wazi wazi ambao ushahidi upo hadi nchini mwao.
Individualism, selfishness na lack of patriotism ndiyo vinatusumbua vijana wa sasa. Lakini make no mistake some of us wazee wetu walisacrifice in their life time kupambana na hii system to an extent of neglecting/ sub-caring their families. They just perished as unrecognised and unsang heros. As such us the siblings we just selfishly feel/ think it is a turn for others kupigania taifa letu. Just going back to the previously highlighted reasons.
- Exactly ninachosema kwamba wazee wa zamani walikuwa very effective katika kuishinikiza TANU/CCM na serikali, as opposed na sisi wakuu wa sasa.
Respect.
FMEs!