Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,565
Mzima data lala au pita kwenye post hizi.Huu mjadala ifike sehemu uishe
Kwa kifupi Wake wa Viongozi wakuu wa Chadema ndio wamejipa viti maalum na ili kuzuga kuepuka mtafaruku imezugwa wafutiwe vyeo vyao
haya tumeshafukuza hawa wabunge wenu wa gareji wapokeeni Lumumba mnywe nao chai.Huu mjadala ifike sehemu uishe
Kwa kifupi Wake wa Viongozi wakuu wa Chadema ndio wamejipa viti maalum na ili kuzuga kuepuka mtafaruku imezugwa wafutiwe vyeo vyao
Mzima data lala au pita kwenye post hizi.
Wewe siulikuwa unachekelea wakati covid 19 wamechaguliwa.
haya tumeshafukuza hawa wabunge wenu wa gareji wapokeeni Lumumba mnywe nao chai.
Kumbe mahawara? Kwani wewe wamekuacha wangapi mpaka sasa?Mpaka sasa nachekelea orodha yenye watoto wa Ndesamburo sijui Mahawara wa mwenyekiti haijavuka mlango wa Ufipa
cha msingi tumewatimua wabunge wa gereji wanakuja huko Lumumba kuwaongoza maana huwa mmelala mno.Waume zao wamebaki kwny Kamati kuu wakizuga kuwa wametimua wake zao chamani japo suruali za kujia kwny hicho kikao zimenyooshwa na hao covid 19
cha msingi tumewatimua wabunge wa gereji wanakuja huko Lumumba kuwaongoza maana huwa mmelala mno.
CCM imewauma balaaa 🤣 🤣 🤣Cha Msingi zaid sasa hivi hatujadili tena ujasiri wa kufanya maandamano ya kupinga matokeo, tunajisifu kwa kuwafuta vyeo ma binti
Na kufutiwa uanachama hilo unalisemaje? Ukivuliwa nguo ni vema ukachutama. Kwa hii comment yako ni bora ungekaa kimya.Huu mjadala ifike sehemu uishe
Kwa kifupi Wake wa Viongozi wakuu wa Chadema ndio wamejipa viti maalum na ili kuzuga kuepuka mtafaruku imezugwa wafutiwe vyeo vyao
Na kufutiwa uanachama hilo unalisemaje? Ukivuliwa nguo ni vema ukachutama. Kwa hii comment yako ni bora ungekaa kimya.
CCM imewauma balaaa 🤣 🤣 🤣
Chezea Mwamba wewe.
Pale kwenye zizi la ng'ombe weweSiwa ndio bunge.
Ikiwekwa pale mbele ya ukumbi ndio panaitwa " Bungeni "
Ikiondolewa kinakuwa kikao cha kamati ya wabunge lakini siyo bungeni ila kwenye ukumbi wa bunge!