Je, Bunge lina vikao vingapi kwa mwaka?

Je, Bunge lina vikao vingapi kwa mwaka?

Joined
Sep 19, 2020
Posts
10
Reaction score
27
Ndugu Zangu naomba kueleweshwa kidogo, nataka kufahamu Je Bunge Lina vikao vingapi kwa mwaka? Na Pia wanavyosemaga bunge la 12, au bunge la 10 huwa wanamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom