Salaam wadau..nimefuatilia mwenendo wa Bunge japo vipande vipande kutokana na fursa ndogo ninayoipata nimeshindwa kugundua pia kufumbua hili fumbo..hivi nani anamsimamia mwenzie kati ya Serikali na Bunge katika mfumo wa siasa za vyama kushika hatamu katika maamuzi kwa ujumla?
Naamini katika busara wadau wangu..please naomba nipate mawazo yenu na sio msimamo hasa kama unafuatilia mijadala ya bungeni usitumie hisia tuu ili nijalizie kidogo kilichopo kwenye fikra zangu..
Naamini katika busara wadau wangu..please naomba nipate mawazo yenu na sio msimamo hasa kama unafuatilia mijadala ya bungeni usitumie hisia tuu ili nijalizie kidogo kilichopo kwenye fikra zangu..