GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,902
- 10,503
Bunge, licha ya majukumu yake ya kimuhimili, pia lina mamlaka ya kiutawala (administrative functions).
Mamlaka ya kiutawala hutumika kusimamia mienendo ya bunge, maadili, haki na wajibu wake!
Kama zilivyo administrative bodies zingine, bunge linapotumia mamlaka yake ya kiutawala katika kuamua migogoro na haki za mienendo ya kibunge (quasi judicial functions) lina wajibu wa KUSIKILIZA wahanga wa migogoro au haki hizo.
Maamuzi yoyote yale ambayo hayakuzingatia natural justice ya KUSIKILIZWA ni maamuzi batili.
Kama ndugu Lissu ataamua kudai haki yake mahakamani ya kuvuliwa ubunge bila kuhojiwa wala kusikilizwa, kuna uwezekano mkubwa mahakama ITABATILISHA uamuzi wa Spika Ndugai kwasababu mchakato wote alioutumia spika ni BATILI na yote yaliyofanyika juu ya uamuzi huo ni BATILI.
Nilitegemea Ndugai angekuwa na ufahamu wa vitu vya msingi kama hivi lakini kumbe hatambui lolote!