Je, Bunge la Jumuia ya Ulaya limeweka kando agenda zake muhimu kama BREXIT kusikiliza kilio cha Lissu?Ni miongoni mwa maswali Sita CDM wanayoyaogopa

GEE2PATEL

Senior Member
Oct 24, 2018
139
293
ONDOA MASLAHI BINAFSI (CONFLICT OF INTEREST) UJIBU HAYA MASWALI 6 KWA UFASAHA

Hatimaye Lissu kamaliza awamu ya kwanza ya ziara yake.

1. PAMOJA NA KUIAMBIA DUNIA KUWA TANZANIA SIYO SALAMA

_ JE, Watalii wameacha kuja Tz?_

2. PAMOJA NA KUIAMBIA JUMUIA YA ULAYA (MABEBERU) KWAMBA TANZANIA HAKUNA DEMOKRASIA

Je wadau wa maendeleo wamesimamisha misaada kwa Tanzania?

3. PAMOJA NA LISSU KUISHITAKI TANZANIA KWA SHUTUMA ZA UONGO NCHINI MAREKANI KWAMBA RAIAWANATESWA NA SERIKALI IKIWA NI PAMOJA NA KUUAWA ONYO

Je, Marekani kupitia Congress na Senate imeachana na vipaumbele vyake kama Government shutdown, ukuta katikz mpaka wa Mongolia, Kessi ya udukuzi dhidi ya Urusi, mahusiano na Iran na Korea, Kujitoa katika vita ya Syria?

4. BAADA YA LISSU KUINANGA TANZANIA KWA JUMUIA YA ULAYA KUHUSU SHERIA INAYOKATAZA USHOGA NA NDOA ZA JINSIA MOJA KWAMBA NI KANDAMIZI, NA KUAHIDI KUIFUTA SHERIA HIYO ENDAPO ATAKUWA RAIS

Je, Bunge la Jumuia ya Ulaya limeweka kando agenda zake muhimu kama BREXIT kusikiliza kilio cha Lissu?

5. JE BAADA YA LISSU KUWADANGANYA MABEBERU KUWA KIONGOZI WA UPINZANI NCHINI TZ, , MH. MBOWE KAFUNGWA GEREZANI BILA KOSA

Je, kuna msaada amepata kutoka kwa mabeberu kumuondoa Mbowe gerezani na kuiondoa serikali Madarakani?

6. JE BAADA YA LISSU KUJITETEA KUWA USHAHIDI WAKE NA DEREVA SIYO MUHIMU KATIKA UPEKEKEZIVWA TUKIO LA KUSHAMVULIWA KWAKE, KWA KISINGIZIO KUWA INGEKUWAJE ENDAPO WANGEKUFA

Je wazo na jibu la kisheria (la Wilson Masilingi Balozi) kuwa hujafa, halitoshelezi msimamo wa polisi kusisitiza Lissu kurudi ahohiwe?


JAMANI OFISI YA CHAMA CHAKO IKIWA KARIBU NA SEHEM FULANI USICHUKUE TABIA ZA MAENEO HAYO, NAIKUMBUKA MANYANYA IKO KARIBU NA UFIPA


BY EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT BENEFICIARY - GEE2PATEL
 
Tulia bado moto unakuja unafikiri matokeo ya ziara za Lissu huko utayaona sasa hivi ? Unafikiri mabeberu wanakurupuka kutoa maamuzi kama nyinyi ? Tulia tu utaona we hujiulizi kwa nini jiwe kapoa namna hii ? mwenzio jiwe anawaza the Hague wewe unakuja na Uzi wako wa ajabu .
 
Tulia bado moto unakuja unafikiri matokeo ya ziara za Lissu huko utayaona sasa hivi ? Unafikiri mabeberu wanakurupuka kutoa maamuzi kama nyinyi ? Tulia tu utaona we hujiulizi kwa nini jiwe kapoa namna hii ? mwenzio jiwe anawaza the Hague wewe unakuja na Uzi wako wa ajabu .
Hoja za mtoa mada kujibi hivi ni kuonekana kituko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenzio wanatafuta namna ya kurudisha mahusiano ya kimisaada, hujasikia kondom zimeadimika? Mabeberu pesa hawazitoi hovyohovyo kwasasa na ukisikia wametoa ujue wamelenga kabisa eneo ambapo zitaenda kutumika, we muulize waziri wa noti je jamaa wanaleta mpunga?
 
Mambo ya copy n paste. Unaishi wapi wewe unayezungumzia “government shutdown” leo? Ukuta kati ya Marekani na mpaka wa Mongolia??

Kama ni wewe ndio mmiliki wa uzi huu na haya ni mawazo yako - Tanzania kama nchi itabaki hapa ilipo mpaka utakapokuwa wa kwanza kubadili aina ya akili yako.

Nchii hii inapata laana kwa sababu ya aina ya watu kama wewe!!
 
Back
Top Bottom