Je! BSC in chemistry in course nzuri?

Je! BSC in chemistry in course nzuri?

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
644
Reaction score
582
Habarini wakuu Mimi ni muhitimu Wa kidato cha sita 2021 na kupata II ya 11 yaani
Phy-D
Chem-D
Bio-C
Je bsc in chemistry in course nzuri na marketable? Ushauri wenu kwa wenye uelewa nayo.
 
Habarini wakuu Mimi ni muhitimu Wa kidato cha sita 2021 na kupata II ya 11 yan
Phy-D
Chem-D
Bio-C
Je bsc in chemistry in course nzur na marketable? Ushaur wenu kwa wenye uelewa nayo
Bonge la kozi. Nenda Udsm ukapikwe vizuri, pale utakutana na kina Dr Phillip, prof Mahugija, Dr kessy, Dr. Mwakaboko, Dr. Mgina, Prof. Lugwisha.

Mimi ni mkemia nilisoma hii kozi sasa nakula maisha tu kitaa.
 
Bonge la kozi. Nenda udsm ukapikwe vizuri, pale utakutana na kina Dr Phillip, prof mahugija, Dr kessy, Dr mwakaboko, Dr mgina, prof lugwisha.

Mimi ni mkemia Nilisoma hii kozi sasa nakula maisha tu kitaa.

Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Hivi mkemia anapokea shingap per month
 
Bonge la kozi. Nenda Udsm ukapikwe vizuri, pale utakutana na kina Dr Phillip, prof Mahugija, Dr kessy, Dr. Mwakaboko, Dr. Mgina, Prof. Lugwisha.

Mimi ni mkemia nilisoma hii kozi sasa nakula maisha tu kitaa.
Mahugija kawa Prof, Jamaa alikuwa akivuta tu suruali anashusha slides nyingine!!

Dr Mgina mzee mmoja humble sana
 
Nakushauri achana na Bsc in chemistry labda Kama una passion Sana Huko, Ila nakuomba kasome Bachelor of health laboratory sciences_KCMCo
 
Ni nzuri kama utakuwa serious na unajua nini unakitaka. Pitia prospectus ya chuo husika pia pata taarifa zaidi uone kama itakufaa, ukibahatika kwenda kuisoma hiyo ukawe serious sana na kitabu. Sio kozi ya mchezo.
 
Vilevile kama unataka unafuu wa maisha kiuchumi uwapo chuoni, chagua UDOM hiyo Bsc in chemistry is offered there in College of natural and mathematical science, wanapikwa vijana hapo vzr sana.
 
Bonge la kozi. Nenda Udsm ukapikwe vizuri, pale utakutana na kina Dr Phillip, prof Mahugija, Dr kessy, Dr. Mwakaboko, Dr. Mgina, Prof. Lugwisha.

Mimi ni mkemia nilisoma hii kozi sasa nakula maisha tu kitaa.
Hivi dindai na field zake ukiwa chuoni unaenda kufanyia wapii
 
Back
Top Bottom