Je Brasil kuendeleza historia kombe la dunia?

Je Brasil kuendeleza historia kombe la dunia?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Pamekuwa na IMANI kuwa kikosi cha soka cha Brasil kikiwa bora msimu wa fainali za kombe la dunia basi hakifiki nusu fainali kwa kutolewa. Kwa muonekano huu wa kutupa raha na burdani shabiki wake kwenye hii 'Confederations cup' safari hii historia haitarejewa? Tupanuane mawazo na kufanya utabiri hapa.
 
Back
Top Bottom