Je, Binadamu huweza kuambukizana kupiga miayo?

Je, Binadamu huweza kuambukizana kupiga miayo?

Tyrone Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
1,616
Reaction score
3,432
Kupiga miayo ni tendo ambalo hutokea wakati aidha mtu amechoka au ana njaa, nakumbuka kama nilishawahi kusoma sehemu kuwa tendo la kupiga miayo huweza kuambukiza.

Yaani mtu mmoja akilifanya kwenye mkusanyiko basi kuna watakao fanya pia, nimejaribu kuchunguza mara kadhaa sehemu yenye watu kiasi kama kijiweni hii kitu naiona kama inatokeaga, Je ni kitaalam imekaaje hii?
 
Hata kusoma huu uzi tu nmejikuta nshaupiga tayari😵😵😵
 
Kupiga miayo ni kupunguza joto kutoka kwenye ubongo.

Mkikaa sehemu ambayo ubongo wenu utapata joto basi hata kwenye kupunguza ni mtapiga miayo sawa au kutofautiana sekunde kadhaa kutegemeana na reaction ya mwili
 
Back
Top Bottom