Je, bikra inaweza kutoka bila kukutana na mwanaume? Na kwanini wasichana hawapendi kuulizwa hili?

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,399
1,012
Naombeni msaada,

Kwanza ni kweli bikra inaweza kutolewa bila mwanaume kumwingilia msichana na kwanini wadada wengi wanapoulizwa swali hili wanakuwa wakali sana mfano mke wangu kila nikimuuliza swali hili lazima uzuke ugomvi na kudai mtoaji ni mimi na hukasirika sana na kudai kama siamini basi nshakuwa na wanaume mia

Sasa swali ninalojiuliza kwanini anakuwa mkali na kuniambia ni mimi ndo mtoaji wakati sikuona dalili hizo for the first time.

SWALI HILI NAJUA WENGI WA WANAUME WANALO KICHWANI WANAWEZA KUWA MAJASIRI WAKAULIZA AU WAKAMEZA TU BILA KUULIZA
 
  • Thanks
Reactions: 999
Muda wote huo una mtongoza hukumuuliza kama nani aliitoa leo ndio unamuuliza!

Ana haki ya kugomba
 
Back
Top Bottom