Je! Beef hii ni Dar dhidi ya Arusha?

Umeenda mbali kudhani One ni mrithi wa Dogo!!one,nikki,stamina,izzo,stereo,darasa na wengineo ni maMc wa msimu na hata uwezo hawajapishana sana!katika kizazi hiki mtu ambaye naona atakuwa katika historia ni Roma mkatoliki!

The fact that, unamuweka stamina, izzo b kwenye level za kina nikki mbishi, one na stereo zinajumuisha una upeo mdogo kwenye hiphop. Mdogo sana. Album ya Nikki Mbishi inatosha kukujibu. I would say Roma ndiye Rapa wa msimu. Time will tell
 

Moja, Lusajo yuko wapi? Mbili, Suma Mnazareti, alitengeneza namna ya kujipatia umaarufu kupitia Lunduno na M-LAB pamoja na kwamba hakuwa msanii wa kutoka sehemu hizo. Alichofanya Mbishi ni kukanusha kuwa hawahusiani nae zaidi ya kufanya collabo kwenye wimbo mmoja wa mixtape, 'Hisia'. Tatu, Nikki Mbishi alimpa changamoto Bonta kupitia mistari, hakukua na sababu ya Weusi kupanic. Mistari inajibiwa kwa mistari. Lil Wayne amemdiss Jay Z mara kibao kwenye track zake na bado wakafanya collabo, 'Mr. Carter'!

Ukweli utabaki ukweli, sijaona Mc wakusimama na Nikki Mbishi katika Weusi. The only thing Weusi are good at ni kupodoa Swagaa zao. Bhaaaas!
 
Umeenda mbali kudhani One ni mrithi wa Dogo!!one,nikki,stamina,izzo,stereo,darasa na wengineo ni maMc wa msimu na hata uwezo hawajapishana sana!katika kizazi hiki mtu ambaye naona atakuwa katika historia ni Roma mkatoliki!

mkuu usifanye kabisa mchezo na moto wa One,nilikuwa namchukulia kama wa kupita tu..nilifanikiwa kusikia mikono yake ambayo bado ipo studio nilikoma mwenyewe,sikuwai kuwaza kama kwa sasa kuna Mc anaweza kuchana na kuandika kama anavyofanya jamaa,alafu kwa floo za kinyamwez ndio usiguse kabisa...jamaa kwa muziki wa hiphop ni package iliyotimia..hao wengine amewaacha mbali sana...ndio maana naweza bado kusema kwa kujiamini mchizi ni the new Hashimu.

Kuhusu Roma amkalibii ata nusu One,yani uyo Roma ukisikiliza nyimbo zake kama upo kwenye mkutano wa kampeni za siasa vile au kama unasoma Mwanahalisi...yani anachofanya ni kutajataja majina ya watu mashuuri ili kupata attention ya watu,hawezi kumfikilisha mtu...sijawai kumkubali Roma.
 
The fact that, unamuweka stamina, izzo b kwenye level za kina nikki mbishi, one na stereo zinajumuisha una upeo mdogo kwenye hiphop. Mdogo sana. Album ya Nikki Mbishi inatosha kukujibu. I would say Roma ndiye Rapa wa msimu. Time will tell

umefafanua vizuri sana.
 

embu chukua soda kwa mangi nitalipa!
 

Yani mkuu umeandika kitu ambacho siku zote uwa nawambia waru. Roma hana delivery nzuri ya ujumbe wake zaidi ya kutaja taja majina na style ile ile yani nymbo zake ka zinafanana vile.
Huwezi mcompare one, au nikk mbishi na roma. Halafu hao weusi bado sana kwa mbishi na one. Joh mzee wa kucopy swagga za jay z, bonta kama roma flani, labda nikki wa 2 ndo kidogo naweza mpa credit
 
Weusi najikuta namkubali nikki,ila tamaduni wako vizuri aisee hasa one na mbishi tatizo hz media.
 
Unajadili huku unatetea upande uupendao.taarabu ilianza hivi ikapotea. Haya kati ya weusi na mbishi nani wana mbumba. Acheni uchochezi.
 

Acha ushabiki Mandazi wewe. Najua kusoma hujui hata picha huoni?
Utalinganishaje Weusi na Hao wanaokulipia bundle uandike ----- humu?
Ningesema mengi ila nimegundua una stress za maisha na hasira juu ya ukweli.
Pole sana.
 
Hao watoto wa arusha wakasafishe meno kwanza ndo washindane na wabishi wa dar!!!!!game inabadilika ila wajue one the incredible ni bad news!

Nimelipenda jina lako chalii angu.
Ntakutafuta nikutendee haki.
 
kwani weusi wanafanya hip hop m naona wanaimba wale tafuteni makundi yanayofanya real hip hop halafu mje kuwalinganisha na hivi vichwa vya m lab mnachokifanya hapa ni kuwadhalilisha akina one,Nikki ,stereo ,songa,ghetto ambassador na wengineo
 
Nikki mbishi ni kichupi tu hana mistali wala nini anategemea migöngo ya watu ili atoke ni fyatu tu.

mkuu una sababu zozote zilizokufanya akaandika huu ugoro wako hapa ushawahi kumskiza vizur huyu mtu hebu kackize vizuri ngoma za huyu jamaa halafu ndo uje tena
 
Nimeacha kusoma pale ulipoanza kumuelezea Nikki wa pili kuhusu uandishi na hiphop!....kwamba aliongeza idadi ya wanaoweza kuandika!!that's shit,...huyo anatembelea mbeleko ya kaka yake!...imenifanya hata nisiendelee kusoma!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…