maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,121
- 4,855
Chachandu ya leo tenamapenzi ndo nn tena!?
Mapenzi ya kweli yapo
Mie nikipenda,wanaume wengine wote naona kama mabest zangu wa kike
#HatersWatakujaKuulizaKamaHadiBabaYanguNaonaNiBestYanguWaKike
So sad nimezoea kuskia wanaume ndo watapeliwa ilikuaje mkuu au ni private sanaNilimpa mtu mapenzi ya kweli akaishia kunitapeli pesaa saiv wacha niendelee kutembea na waume za watu tu hakuna namna
Mapenz ndo nn kwan
Unaweza ukajifanya unamuaminia ili umkamue tu vihera vyake na ili umkamue vizuri ndo unajifanya unamuaminia adi wanaume wengine unaona kama wanawake wenzio
Watu hawapendeki kwa sababu hawana mapenzi ya kweli na hao ndo wanaprove kua kweli hayapoMapenzi ya kweli yapo ww,
Sema kuna watu hawapendeki hata ujitoe vipi
Sawa ukiamua kusema ivo uko sahihi pia ni hisia zako tuUna gundu wewe
Kwa iyo unataka kusema tutaongea kesho ama?Mkuu kama haupo sawa iv
Ndio hvyo nikasema watu wengne hawapendeki unajitahidi kumfanyia vizuri anaona unajipendekeza sijui falaWatu hawapendeki kwa sababu hawana mapenzi ya kweli na hao ndo wanaprove kua kweli hayapo
Anafanya hivo kwa sababu hana mapenzi ya kweli si ndio?Ndio hvyo nikasema watu wengne hawapendeki unajitahidi kumfanyia vizuri anaona unajipendekeza sijui fala
Avatar yako itasabisha nijikute pm nimejitekaNilimpa mtu mapenzi ya kweli akaishia kunitapeli pesaa saiv wacha niendelee kutembea na waume za watu tu hakuna namna
Nilimpa mtu mapenzi ya kweli akaishia kunitapeli pesaa