Je, Ataweza nisamehe?

Kama ilikuwa hutaki watoto si ukaoe mwanaume mwenzio wamejaa kibao fb ya nini kumharibia kizazi mtoto wa mwenzio.
Hujui unachotaka maana ushakana mimba, ushamuita malaya na hapo hapo unajidai unampenda. Watu kama nyinyi ndo mnatia dosari jina la wanaume wote.
 
Muongo ww! Unampenda huku unamfnyia mambo ya ajabu?! Huo ni uchura..!
 
Kiswahili cha ma'teen agers.

Kuckia badala ya kusikia.
Cingizia badala ya singizia.
 
Acha chapa chapa ovyo ata km mkeo..panga uzazi wa mpango
 
Ivi kwanini baadhi ya wavulana manake sisemi wanaume manake Mwanamme au mwanamme kweli hawezi kufanya vitu kama Kumwambia mwanamke akatoe Mimba wakati unajua kinga ilipo lakini umetaka kuisikilizia utamu wake ukasahau result
je kama umeandikia mtoto huyo mmoja katika maisha yako? ye huyo binti ukimuharibu kizazi? na mbaya zaidi unasema nimemwambia kua amekusingizia mimba ivi unajua jambo la kusingiziwa hasa na mpenzi wako linauma SANA? sasa unataka arejee na kurai hujui maneno matamu huna kudekeza hujui arejee amesahau nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…