Hizi comment mnazitoa wapiMambo ya kununua kiwanja chenye mgogoro
Hii mechi noma Sana inaanza na 0:1
Sijui Kama hii team itashinda kwel sali sana na kujituma Kweli lasivyo itakula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mkuu, yeah ni wa huko huko lakin haishi huko na jina halianzi na hiyo herufi.Aisee huyo demu wako mbona namjua mleta uzi,
Jina lake linaanzia na "I" la ukoo wao ni "M"
Anaishi Arusha/Moshi saizi kwao Dar.
Fanya kuoa huyo demu aisee ni bonge la mtu alafu yupo smart sanaa.
I see, nina rafiki wa kike anaendana nae sana characters.Hamna mkuu, yeah ni wa huko huko lakin haishi huko na jina halianzi na hiyo herufi.
Yeah anaonekana kuwa smart na hana aibu kwenye mishe mishe za pesa, ni mzuri balaa, ila alizaa kipindi cha sec. Na mtoto ni mkubwa sasa.
Sio mtu wa bata saana ni ile hali ya kawaida ya wadada, ni mzuri bt anachukulia poa uzuri wake, ni aina ya mwanamke niliyekuwa nataman kuwa nae maishani.
Tatizo ni hilo coz aliamua kunambia siri zake ndo akanambia kuhusu kuvuta na pia kuwa na wanaume wengi maana alikuwa hayuko serious nao. Swala la mtoto nalifahamu tangia day one n huwa anampost via whatsapp etc
Kuhusu kuvuta kaacha n pombe anaacha taratibu, na swala la wanaume wengi ameacha tangia tulipoanza kuwa wote anasema ameona niko serios nae na kwa mara ya kwanza katika mahusiano yake ndo amekuwa na malengo na mimi tu.
Ananiheshimu, ananijali, ananipenda, home anakuja kama kawaida anafanya shughuli zote, onbed vizuri. Inshort kila kitu yuko vizuri.
Tatizo ndo hilo mkuu, kuvuta na kunywa anaacha na aanaendelea kuacha coz hata mi bila kunambia nilikuwa sijui so ni kitu anafanya kwa siri tu. Suala la kutokana na anavosema ni kwamba kaacha, tatuzo kubwa ni hili la mtoto!! Mkuu hapo vip? Yaan sijui nifanyeje..
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Kaka, nimekuelewa saaanaI see, nina rafiki wa kike anaendana nae sana characters.
Huyu yeye alizaa wakati yupo high school, now she is 25 ni mtumiaji mzuri sana wa ulabu, anasmoke both fegi na weed. Ninachompendea yupo smart sanaa, anajielewa kiufupi.
Well kama ulivyotanabaisha au baadhi ya wachangiaji waliopita walivyochangia, usimjudge huyo dada kwa historical background yake, angalia mapenzi yake kwako, anakusikiliza na yupo tayari ku obey vile unavyomshauri, why uachane nae?? Hayo mengine sijui kusmoke, kunywa anaweza akaacha kidogo kidogo ukiongea nae vizuri.
Nashauri usimuache huyo dada, kila mtu utakaekutana nae hawezi kukosa kasoro zake na wengine utakuta walikuwa na machafu yao zaidi ya hayo.
Sikiliza moyo wako wewe ni Mwanaume unatakiwa kuwa na maamuzi yako binafsi maana ni maisha yako.
hapo kimbia,hayo ni maji yaliyotuama tu. Mega,sepa..Wewe mwenyewe inakupa utata,wataka nn tena?Hellow
Hili jambo linanitatiza saaaaana
Kuna binti nimefahamiana nae kwa miezi kadhaa sasa, kiufupi tumeshakuwa wapenz rasmi kwa miezi hiyo almost mitano.
Binti ni mzuri saaaana, yuko loyal sana kwangu, ananijali kwa kiasi chake, haniwangishi kichwa yaan sina wasiwasi nae.,tumeshakuwa na mipango ya kuja kuwa mme na mke kama Mungu akijalia!!
Binti yuko tayari hata kunizalia,yaan yuko tayari kwa chochote!!
CHANGAMOTO NI HIZI.
binti kashapitia tabia zote kwangu mi naziona mbaya
- unywaji pombe
- uvutaji ( sigara au bangi )
- kuwa na mahusiano mengi
Kwangu mi hizo changamoto naona labda ni kawaida maana kila mtu ana past yake n na mimi nina past yangu kwake inaweza kuwa mbaya,
Tatizo kubwa ni ana mtoto tayari, ila yeye bado ni mdogo tu (25yrs), alimpata kipindi anasoma secondary.
Nawaza na najiuliza je atanifaa kweli kuwa mke??? Je hizo tabia zake kaacha kweli??? Je kuhusu mtoto hatokuja kutuvuruga??
Nawaza nimuoe hivo hivo? Au nisimuoe? Je nimuacheje na wakati nampenda saana na yeye ananipenda? Sijui nichukue njia gani wakuu
Naombeni ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ana mtoto mpotezee then thank me laterHellow
Hili jambo linanitatiza saaaaana
Kuna binti nimefahamiana nae kwa miezi kadhaa sasa, kiufupi tumeshakuwa wapenz rasmi kwa miezi hiyo almost mitano.
Binti ni mzuri saaaana, yuko loyal sana kwangu, ananijali kwa kiasi chake, haniwangishi kichwa yaan sina wasiwasi nae.,tumeshakuwa na mipango ya kuja kuwa mme na mke kama Mungu akijalia!!
Binti yuko tayari hata kunizalia,yaan yuko tayari kwa chochote!!
CHANGAMOTO NI HIZI.
binti kashapitia tabia zote kwangu mi naziona mbaya
- unywaji pombe
- uvutaji ( sigara au bangi )
- kuwa na mahusiano mengi
Kwangu mi hizo changamoto naona labda ni kawaida maana kila mtu ana past yake n na mimi nina past yangu kwake inaweza kuwa mbaya,
Tatizo kubwa ni ana mtoto tayari, ila yeye bado ni mdogo tu (25yrs), alimpata kipindi anasoma secondary.
Nawaza na najiuliza je atanifaa kweli kuwa mke??? Je hizo tabia zake kaacha kweli??? Je kuhusu mtoto hatokuja kutuvuruga??
Nawaza nimuoe hivo hivo? Au nisimuoe? Je nimuacheje na wakati nampenda saana na yeye ananipenda? Sijui nichukue njia gani wakuu
Naombeni ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
I have learnt something,Asante broNina vitu vichache vya kukwambia mdogo wangu kabla haujaingia hilo shimo. Ni kweli kwamba watu hubadilika na kubadili tabia ila tahadhari ni muhimu...... Ushauri wangu ni kama ifuatavyo.
1. Ukitaka kujua watoto wako utawapatia mama wa aina gani na atawapa mafunzo gani, tazama ujana wa mwanamke wako ambae unataka mfanya kuwa mama wa watoto wako. Huyo mwanamke tayari anadosari nyingi za kimaadili, ameshavuta bangi, amezoea vilevi, ameshalala na mwanaume zaidi ya m'moja na kuzaa mtoto juu.
Hii ndio image watayopata watoto wako wa kike maana ndio mfano wa mama yao. Kama una akili utakuwa umeshanielewa hadi hapo.
2. Wanawake wa kisasa wanaongozwa na shetani katika maamuzi yao na haya ni matokeo ya kuacha kufuata mafunzo ya kiimani na kukaa mbali na vitabu vya MUNGU. Wengi hutumia mitandao ya kijamii kama reference ya maamuzi na sehemu ya kujifunzia. Marole model wao pia si mifano ya kuigwa sababu ni makahaba, wadangaji, wazinzi na watomvu wa nidhamu wasio na maadili. Huyo mwanamke wako anaonekana yupo katika mstari huo sasa kama unataka watoto wako ndio uwapatie mama wa namna hiyo sijui utakuwa unawaza nini.
3. Mwanamke wa kisasa mwenye tamaa yupo tayari kula hata kinyesi ili tu kupata anachotaka kulingana na tamaa unamwambia nini. Mwanamke huwa anaikana hata utu wake anapokuwa anatamania kitu. Wengi wanaingiliwa kinyume na maumbile, wanazaa na waume za watu, wanalala na wanaume zaidi ya m'moja kwa siku yote ni kwasababu ya tamaa.
Huyu ulienae sioni tofauti nahisi ana lake jambo limemleta kwako. Huo utayari si wa kawaida na kwa umri aliopo inaonyesha ameona afe na wewe kabla hajafeli. Ila ujiandae akishapata kilichomleta in the future atakuruka futi mia na kurejea asili yake....
Ndio maana unaona vijana ni marufuku kuoa barmaid, au wanawake wa sampulu fulani sababu wanawake ni ngumu kuacha asili zao... Wanatulia kwa muda kisha wanarejea.
Kuna mzee alioa Barmaid. Yule mama akimuona anaonekana ni mstaarabu tu ila sasa tazama mabinti zake. Anamtindo wa kuwashauri vitu vya kipumbavu sijawahi kuona...... Mama anasapoti kudanga.... Anawafundisha mabinti zake kuishi kiumbwa umbwa.....
Sent using Jamii Forums mobile app