newbeliever
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 248
- 48
Hellow
Hili jambo linanitatiza saaaaana
Kuna binti nimefahamiana nae kwa miezi kadhaa sasa, kiufupi tumeshakuwa wapenz rasmi kwa miezi hiyo almost mitano.
Binti ni mzuri saaaana, yuko loyal sana kwangu, ananijali kwa kiasi chake, haniwangishi kichwa yaan sina wasiwasi nae.,tumeshakuwa na mipango ya kuja kuwa mme na mke kama Mungu akijalia!!
Binti yuko tayari hata kunizalia,yaan yuko tayari kwa chochote!!
CHANGAMOTO NI HIZI.
binti kashapitia tabia zote kwangu mi naziona mbaya
- unywaji pombe
- uvutaji ( sigara au bangi )
- kuwa na mahusiano mengi
Kwangu mi hizo changamoto naona labda ni kawaida maana kila mtu ana past yake n na mimi nina past yangu kwake inaweza kuwa mbaya,
Tatizo kubwa ni ana mtoto tayari, ila yeye bado ni mdogo tu (25yrs), alimpata kipindi anasoma secondary.
Nawaza na najiuliza je atanifaa kweli kuwa mke??? Je hizo tabia zake kaacha kweli??? Je kuhusu mtoto hatokuja kutuvuruga??
Nawaza nimuoe hivo hivo? Au nisimuoe? Je nimuacheje na wakati nampenda saana na yeye ananipenda? Sijui nichukue njia gani wakuu
Naombeni ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app