Je, atanielewa kwa hili?

Avataer yako inaweza leta matatizo,yaani inaonekana ya kike,sasa sijui wewe ni SHE au HE?.
 
mkuu mueleze tu
 
Rafiki anatongozwa kwa utani. Akikataa, ulikuwa unamtania, akikubali, shega.
Hii ilishawahi kunisaidia. Kuna mrembo mmoja tulikuwa tunafanya naye kazi. Alikuwa mzuri balaa naona jamaa ofisini wanahangaika sana namna ya kumpata. Naye alivyojuwa anawindwa sana akawa ananata hatari. Mi ndo nikawa rafiki yake. Akawa anasema mi ndo mshikaji wake wa kweli maana sifanani na hao wengine. Mi kila siku nikawa namtaniatania tu. Siku isiyo na jina, tukajikuta tunataniana wakati wa half time kwenye Fundi Seremala Stadium.
 
Acha utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…