technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,453
The Boss is always rightKama ni kujiuzulu wanatakiwa wajiuzulu wote wawili na siyo mmoja pekee. Kinyume na hapo wavumiliane tu mpaka mwisho.
Bila yule mstaafu ni ngumuUkweli ni huo namba moja na mbili wote wajiuzuru ili tuanze upya.
Waligombea kama mtu na mwenza wake. Kwa hiyo wote ni Mabosi. Angekuwa amemteua, angekuwa na uwezo wa kumuondoa au kumshinikiza kujiuzulu.The Boss is always right
Only if you're broke.The Boss is always right
Mene, Mene, Tekel, Upharsin" (or "Mene Mene Tekeli na Peresi")Drama zinaendelea drama zinaendelea
Wapili kaandikiwa barua ajiuzulu!
Wapili kagoma!
Je watamfanya Nini?
Je wanajua kwanini anajiamini?
Wanamtandao kazi mnayo mwaka huu mtauana na kumalizana.
Nimeanza kupoteza kumbukumbu.Hivi,makamu akifariki(kwa mfano au kuachia ngazi)nafasi yake hujazwa kwa utaratibu upi?Waligombea kama mtu na mwenza wake. Kwa hiyo wote ni Mabosi. Angekuwa amemteua, angekuwa na uwezo wa kumuondoa au kumshinikiza kujiuzulu.
Nadhani enzi za Mkapa (2001) ilitokea hii pale Makamu wake Dr. Omary Ali Juma alipofariki, Dr. Mohamed Ali Shein aliteuliwa na Mkapa kuwa Makamu wake. Na baadaye akaendelea na JK, kabla ya kwenda kugombea Zanzibar na kushinda kwenye uchaguzi wa 2010.Nimeanza kupoteza kumbukumbu.Hivi,makamu akifariki(kwa mfano au kuachia ngazi)nafasi yake hujazwa kwa utaratibu upi?
Nadhani enzi za Mkapa (2001) ilitokea hii pale Makamu wake Dr. Omary Ali Juma alipofariki, Dr. Mohamed Ali Shein aliteuliwa na Mkapa kuwa Makamu wake. Na baadaye akaendelea na JK, kabla kwenda kugombea Zanzibar na kushinda.
Kwa hiyo Katiba i madaraka Rais kumteua Makamu wake iwapo atafariki au kujiuzulu.
Basi, ndiyo maana wanamkosea staha,kumdhihaki na kumtukana wakijua wana chaguo lingine kimaamuzi.Anawekwa kimtegomtego wakijua Wanaweza kubonyeza kitufe upande wanaoutaka.Nadhani enzi za Mkapa (2001) ilitokea hii pale Makamu wake Dr. Omary Ali Juma alipofariki, Dr. Mohamed Ali Shein aliteuliwa na Mkapa kuwa Makamu wake. Na baadaye akaendelea na JK, kabla ya kwenda kugombea Zanzibar na kushinda kwenye uchaguzi wa 2010.
Kwa hiyo Katiba inampa madaraka Rais kumteua Makamu wake iwapo atafariki au kujiuzulu.
Ngoja tuone
Ukiunganisha dots utagundua hata yule Mbunge mzazibari aliyemuita Yuda alikuwa ni mjumbe tu. Binafsi nitashangaa sana kama Yuda atafuata nyayo za Job kujiuzulu kutokana na mashinikizo. Ninaamini alijifunza kwa yaliyomkuta mwenzake.Basi, ndiyo maana wanamkosea staha,kumdhihaki na kumtukana wakijua wana chaguo lingine kimaamuzi.Anawekwa kimtegomtego wakijua Wanaweza kubonyeza kitufe upande wanaoutaka.
Rais anateua na Bunge linathibitisha. Kama ilivyokuwa kwa Dr. Omar Ali JumaNimeanza kupoteza kumbukumbu.Hivi,makamu akifariki(kwa mfano au kuachia ngazi)nafasi yake hujazwa kwa utaratibu upi?