Je, asome kozi gani kati ya hizi?

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2019
360
386
Mtoto wa dada yangu amepata ufaulu hafifu yaan four ya 28, lakn katika uchunguzi kidogo niliofanya nikagundua kwamba ana vigezo vya kusoma mojawapo kati ya fani zifuatazo:

1: Bank & finance
2: Accountancy
3: Chuo cha Maji (water institute)
4: Pharmaceutical science

Je, kati ya hivyo nimchagulie fani gani?

Napokea mawazo yenu pia hasa ushauri na mawazo mapya. Naomba ikinishauri unipe na ufafanuzi kidogo.

Asanteni
 
Yeye ameniomba nimsaidie kuchagua baada ya physics kumuangusha na kumnyima kwenda kusoma fani za afya
 
Mwambie aende chuo Cha maji akasome
Water supply and sanitation engineering hatojuta akimaliza tu DAWASA
 
Chuo cha Maji akasome Water Laboratory Technology kwani ina wigo mpana wa ajira serikalini na private sector (Viwandani)
 
Mtoto wa dada yangu amepata ufaulu hafifu yaan four ya 28, lakn katika uchunguzi kidogo niliofanya nikagundua kwamba ana vigezo vya kusoma mojawapo kati ya fani zifuatazo:

1: Bank & finance
2: Accountancy
3: Chuo cha Maji (water institute)
4: Pharmaceutical science

Je, kati ya hivyo nimchagulie fani gani?

Napokea mawazo yenu pia hasa ushauri na mawazo mapya. Naomba ikinishauri unipe na ufafanuzi kidogo.

Asanteni

Kwa ufaulu wake, namba 3. na 4. zitamsumbua. Namba 2. itamfaa.
 
Mtoto wa dada yangu amepata ufaulu hafifu yaan four ya 28, lakn katika uchunguzi kidogo niliofanya nikagundua kwamba ana vigezo vya kusoma mojawapo kati ya fani zifuatazo:

1: Bank & finance
2: Accountancy
3: Chuo cha Maji (water institute)
4: Pharmaceutical science

Je, kati ya hivyo nimchagulie fani gani?

Napokea mawazo yenu pia hasa ushauri na mawazo mapya. Naomba ikinishauri unipe na ufafanuzi kidogo.

Asanteni
soma pharmacy inanafasi tatu utajuajiri au utaajiliwa na serikali au private
 
Back
Top Bottom