Je Arsenal ilikuwa inamhujumu Arsene Wenger ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,673
218,182
Hii inajionyesha wazi hasa baada ya timu hiyo kuanza kununua wachezaji wapya kama mchanga , mpaka sasa wachezaji watano wamekwishanunuliwa akiwemo kiungo mahiri Toreirra kutoka Sampdolia ya Italia.

Huku Magalasa mengi yakiuzwa ama kufunguliwa milango .

Enzi za Wenger ilikuwa ni ngumu kwa timu hii kununua hata mchezaji mmoja tu hata wa kulumangia ! nani aliyekuwa anamhujumu mwingine kati ya bodi na kocha ?
 
Kuuuza magalasa na kununua
Galasa la £8 kunatofaut gan hapo
Wangemunua mtu kama mbape hapo sawa ngewaelewa lacazeta ndyo
Huyo hana tofaut na mjinga giroud
 
Naamini miaka miwili ya mwisho Wenger alikua anabeti na alikua anaikataa Arsenal.

Tumetoka kupokea kipigo Wenger hadi akateleza barabarani basi mikeka kama 17 ikamdondoka. Askari walivyomuinua wanampa mikeka yake anagoma anadai ya Chamberlain.
Ha! Ha! Ha!
 
You must be joking buddy!!
Ila kuna wakati ilisemekana Mzee Wenger alikuwa ni namba wani fan wa Mashetani wekundu
 
Naamini miaka miwili ya mwisho Wenger alikua anabeti na alikua anaikataa Arsenal.

Tumetoka kupokea kipigo Wenger hadi akateleza barabarani basi mikeka kama 17 ikamdondoka. Askari walivyomuinua wanampa mikeka yake anagoma anadai ya Chamberlain.
Hahahahahahahhahahahahahhahah. Muacheni Babu wawatu ale pension zake
 
hakuna aliye muhujumu wenger..ni yeye mwenyewe ndio alijihujumu...kumbuka yeye ni mchumi na aliamua kubana bajeti na kuweza kulipa madeni yote ya club...wenger alipewa pesa za usajili lkn baada ya dirisha la usajili alirudisha chenji...ni mwana uchumi mzuri sana
 
Naamini miaka miwili ya mwisho Wenger alikua anabeti na alikua anaikataa Arsenal.

Tumetoka kupokea kipigo Wenger hadi akateleza barabarani basi mikeka kama 17 ikamdondoka. Askari walivyomuinua wanampa mikeka yake anagoma anadai ya Chamberlain.
Duuu Unaongelea game ambayo Arsenal walichapwa bao 5 na Liverpool kisha Wenger akaenda kuanguka stesheni na mizigo yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom