Je, App za simu yako ya Android zinasumbua?

Je, App za simu yako ya Android zinasumbua?

Hassan Mambosasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
3,984
Reaction score
5,791
Niaje wadau, rejea kichwa cha habari hapo juu. Kuanzia jana wengi walikutwa na tatizo la App kugoma kufunguka. Zikiandika STOPPED au NOT RESPONDING. hilo tatizo linasababishwa na programu za CHROME au ANDROID SYSTEM WEBVIEW.

Unachotakiwa kufanya hakikisha umeupdate hizo APP, nenda playstore na uzisearch kisha Update kila moja kama ipo kwenye simu yako, au ambayo system inaruhusu uifanyie update. Ukifanikisha hilo, shida zote zimekwisha. Hakuna App itakayosumbua
 
Jana zimenisumbua sana , hasa chrome
 
Back
Top Bottom