Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,281
- 7,061
Kupitia mradi wa Mahindra Tec na ununuzi wa genereta kutoka Usa Januari Makamba alipiga bil 85 jumla.
Huyu Angela Kiziga ndio alijichotea kabisa pesa za Watanganyika bil 60 bila hata kutoa jasho. Huku maafande wakivaa Khaki zilizopauka.
Ufisadi kama huu hayati JPM asingeuvumilia.
Utakumbukwa sana shujaa wa Rubambangwe.