Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,706
- 6,505
habari za siki mingi wanajamvi??
nimmuda mrefu nimepitea humu kutokana na majukumu kua magumu hasa usawa huu ambao hata ukilalamika unaweza fungulia mashtaka ya uchochezi na hivo siasa za awamu hii hazitabiriki kila mahali ni balaa.
Tuachane na siasa,
kama kawaida yangu mi ni mtu wa mapenzi tuu tena mapenzi siasa siziwezi....
leo nnahili nnalo omba msaada wa kimawazo kwenu,
Mi ni Afisa flani hivi katika bank upande wa mikopo,
ametokea binti mmoja ni executive kwenye taasisi flani ambapo tuliendaga mi namwenzangu kuwashawishi wakope ktk bank yetu.....
baada ya miezi ka mitatu akanitafuta nakuanza kuniambia anashida ya mkopo akapanga tukutane week end niliona ok haina shida tukaonana slip way.......
baada ya maongezi alionekana anaweza kupata mpaka milion 50 kwetu lakini yeye akasema atachukua 30 tu tena kwa ajili yangu nikashangaa kwanza nakumuuliza kwa nn kwa ajil yangu???
akajibu akasema alinipenda tangia siku ya kwanza tulivokutana na vile nilivokua na mshawishi kibiashara alikua anaona kama namtongoza na alivuta picha et ndio nshakua mpenzi wake nambembeleza akagundua mimi ndie ntakua mtusahihi maana vile alivokua anajiskia hakuwa kujskia hivo before!!!!!!
Akaongezea akasema ni vile mazingira magumu kunakufuatiliana ofisi maana si ninajua mambo ya anko Magu angeweza kunibadilishia maisha zaid ya hapo maana angenipa zaidi ya hapo kwa jinsi alivo nielewa....
pamoja na kumweleza kua nna mke hakutaka kunielewa zaid alisema hajali kikubwa ni kubali ili nipate huo mpunga na kuahidi kunisaidia zaidi...
kwangu mimi nikiangalia hio ml 30 itanisaidia kufikia target yangu kazini na incentive yakueleweka hoja nyingine nikikubali nkachukua iyo hela ntamweleza nn mke wangu yaan nimeitoa wapi maana anajua kila chanzo cha income yangu,
Nifanyeje wadau???
hii story haijabalansi kabisa ni bora ufanye mpango ukamgonge kwanza ndio urudi hapa tusaidiane jinsi ya kumuacha ila hela chukua na naamini mkeo ukimwambia umehongwa na mwanamke anaweza akakupa mbinu za kumkwepa na sio kuzirudisha
tatizo makubaliano na mimi mjini hapa mgeni nsijefanyiwa kitu mbaya kakaUzur hata kama utampa Mkopo haiwezekan kuingia kwenye account yako mpe Mkopo kama mteja mwengne ili utimize malengo then anza kumpotezea maana huna cha kupoteza hapo.
Milion 30 ataiweka wapi kama hujampa account number yako.
So mchezo mwepes tu huo
ha ha ha ha ha ndo wewe nn??Baba ray tumeheshimiana kwa muda mrefu saana humu Jukwaani. Ila leo naomba unishushe sanawari kabla sijafika stand. Kifodi cha leo siwezi kipanda.
Hamna kitu km hicho hususani kipindi hiki. Acha swaggaz za kishamba hizo. Isitoshe ww udenda ndo unakutoka kwa huyo mdada ss kakuambia ili kumpata anatka hicho kiasi. Na we hiyo pesa huna ndo unawaza tuu...hapo. Sema we hiyo story umeigeuza umefanya vice versahabari za siki mingi wanajamvi??
nimmuda mrefu nimepitea humu kutokana na majukumu kua magumu hasa usawa huu ambao hata ukilalamika unaweza fungulia mashtaka ya uchochezi na hivo siasa za awamu hii hazitabiriki kila mahali ni balaa.
Tuachane na siasa,
kama kawaida yangu mi ni mtu wa mapenzi tuu tena mapenzi siasa siziwezi....
leo nnahili nnalo omba msaada wa kimawazo kwenu,
Mi ni Afisa flani hivi katika bank upande wa mikopo,
ametokea binti mmoja ni executive kwenye taasisi flani ambapo tuliendaga mi namwenzangu kuwashawishi wakope ktk bank yetu.....
baada ya miezi ka mitatu akanitafuta nakuanza kuniambia anashida ya mkopo akapanga tukutane week end niliona ok haina shida tukaonana slip way.......
baada ya maongezi alionekana anaweza kupata mpaka milion 50 kwetu lakini yeye akasema atachukua 30 tu tena kwa ajili yangu nikashangaa kwanza nakumuuliza kwa nn kwa ajil yangu???
akajibu akasema alinipenda tangia siku ya kwanza tulivokutana na vile nilivokua na mshawishi kibiashara alikua anaona kama namtongoza na alivuta picha et ndio nshakua mpenzi wake nambembeleza akagundua mimi ndie ntakua mtusahihi maana vile alivokua anajiskia hakuwa kujskia hivo before!!!!!!
Akaongezea akasema ni vile mazingira magumu kunakufuatiliana ofisi maana si ninajua mambo ya anko Magu angeweza kunibadilishia maisha zaid ya hapo maana angenipa zaidi ya hapo kwa jinsi alivo nielewa....
pamoja na kumweleza kua nna mke hakutaka kunielewa zaid alisema hajali kikubwa ni kubali ili nipate huo mpunga na kuahidi kunisaidia zaidi...
kwangu mimi nikiangalia hio ml 30 itanisaidia kufikia target yangu kazini na incentive yakueleweka hoja nyingine nikikubali nkachukua iyo hela ntamweleza nn mke wangu yaan nimeitoa wapi maana anajua kila chanzo cha income yangu,
Nifanyeje wadau???
Wewe unaelekea hujatulia na utamsalit mkeo sabab ya pesahii story haijabalansi kabisa ni bora ufanye mpango ukamgonge kwanza ndio urudi hapa tusaidiane jinsi ya kumuacha ila hela chukua na naamini mkeo ukimwambia umehongwa na mwanamke anaweza akakupa mbinu za kumkwepa na sio kuzirudisha