JCB: Ughaibuni ndio basi..?

Jacob Makala my brother kutoka Watengwa Crew (WTC), Kundi lenu asilimia flani ya member walitimkia mamtoni akiwemo Chindo Man (Mbwa) ambae anaishi na familia yake LA Marekani, Yuzzo Lubama pia, na Miaka ya Nyuma kaka mkubwa ulipofunga ndoa na Mzungu Diana Jorgensen mwana mama Mdenimark huyu uliondoka pia,

Nakumbuka muda baada ya kufunga ndoa nilisikiiza interview yako Clouds ulikuwa na Mkeo na mtoto ndio alikuwa hana muda mrefu sana tangu azaliwe ndio siku uliokuwa unaondoka Tanzania na kuelekea Denmark.

Mwaka jana kama sijakosea ndio umerudi na nimefuatilia interview zako nyingi hasa uliyofanya na Skywalker kupitia Dizzim Online nilijifunza kitu kupitia interview ile.

Ni muda sasa uko Arusha na kuna kipindi ulienda Magu kule, it seems like umestuck kurudi Denmark ambako kuna familia mke na mtoto, Je maisha ya kule yamekushinda au hujakubaliana nayo nikirefer interview niliyoitaja hapo juu, maisha ya kule ni upweke sana kuliko chuganiani masta,

Mwenzio Chindo yuko na familia yake na safari hii amekaa sana ughaibuni tofauti na ww, kama una mipango ya kurudi ni lini jombaa..?

Ushapita machochoro yotee brazaa na amini huwezi feli katika mishe zako.
Sasa wazee baba maisha ya watu kama haya yanatuhusu/wahusu kweli?
 
wewe inakuhusu nini kuchangia si lazima, sometime pita vilee
Wewe ni mfuko arifuu.

Tafuta mifuko wenzio na ndugu zako mfungue site mkipost uzi wa kuchimba maisha ya watu tusichangie muwe mnachangia wenyewe na mifuko wenzio.
 
Wewe ni mfuko arifuu.

Tafuta mifuko wenzio na ndugu zako mfungue site mkipost uzi wa kuchimba maisha ya watu tusichangie muwe mnachangia wenyewe na mifuko wenzio.
we ni kiazi acha undeziii, pita vile
 
Back
Top Bottom