INAUZWA JBL Wireless, Dust and Water Resistant Speaker for Sale

1TB- 140k
2TB- 180k
Brand New Toshiba External HDD
Ukitaka zije na movies unawekewa

Shida jf wanafuta thread zangu za External hdd ndo maana sitengenezi thread mpya siku hizi

Brand ya Trascends huna siku hizi? Delivery in dar ni free?
 
Available
Screenshot_20220404-214746_Instagram.jpg
 
Imedoda kweli
Pole
Kwa nini usijaribu brand za sony , kama una connection za kupata vitu nje?
Xb series kwa mfano ?; nina imani ungekuwa umeagiza mzigo mpya !

Unafanya kazi mbili katika huu uzi kuitanbulisha brand ya Jbl na kuuza at the same time, Sony wana jina kubwa kwenye speakers zao
 
Haijadoda mkuu nilikua naridhisha mdau wangu Mama Debora ni furaha yake akiona nikifeli
 
Back
Top Bottom