Nyie nunue tu kwa bei mkasi kiasi hicho ila sisi wengine tunasubiri mzichoke mpaka zishuke bei ya elfu 50 ndo tukazichukue, siwezi toa laki 6 kwa kitu kidogo kama hicho, niliziona miaka furani kwenye wimbo wa chris Brown na sasa wabongo mmeanza kuzimiliki, zitashuka tu kama ilivyokuwa sabufa leo hii mpaka ya 30k unapata,