JBL Bluetooth speakers

Mie nilinunua SA tena ilikuwa kwenye maonesho ya vifaa vya kumpyuta. Sikwenda kwa ajili ya hizo speaker nilinunua kwa kuwa nilizielewa sana na nilikuwa natafuta Bluetooth speaker na niliweka uzi kabisa hapa
South ina bei nafuu sana kwa vitu vya electronic , mwaka 2011, niliagiza bluetooth speaker ya Sony srs btx 500 kutoka e bay, nilipa kama Dola 260 kwa wakati huo, wiki mbili baadaye nikapata trip ya Sa, ile narud nipo duty free shop naikuta same speaker kwa bei ya 160 usd .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ukirudi tena tujuze


Sent using Jamii Forums mobile app
 


Anker Soundcore 2


Specifications(Sifa)
.
24Hours Playtime(Inakaa charge masaa 24)

.
IPX7 Waterproof(Haiizingizi maji)

.
12Watts(ina watts 12)

.
Bluetoo 5 Extended Range up to 66ft(Unaweza tumia wireless kwa umbali mrefu sana hadi futi 66)

.
Enhaced sound(Rich bass)


#Only for 165,000TSH+VAT


Kama upo Dar es salaam unaletewa ulipo(Free delivery),Mikoani tunatuma


Kuipata DM au


Call,Text,Whatsapp #0784757203


WOTE MNAKARIBISHWA
 
Ok mode of payment
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…