Kwenye biashara ndio utajua tofauti kubwa kati ya mhindi na mwafrika,wakati wahindi bado wanendesha biashara zilizoanzishwa na mababu zao sisi waafrika tunashindwa kuendesha biashara zilizoanzishwa na baba zetu,kwani wakifa tu biashara ya mjukuu wa kihindi itaendelea na kukua mara dufu lakini akifa baba wa kiafrika basi biashara ndio kwishney ,nadhani umnifahamu nilivyoandika babu wa kihindi na baba wa kiafrika