...
Siku moja MUNGU akipenda nitakuwa na ndege yangu labda, na hapo kwenye ki kadi kama hiki patakuwa pameandikwa MACHOZI AIR na sio Barrick Tanzania....
KAFARA,nadhani hizo ni ndoto zake. naamini mwenyewe ljd anaamini atapata mafanikio
zaidi ya aliyokuwanayo sasa.
naamini maoni ya pakajimmy yatafaa kumsaidia kuona ukweli wa challenge zinazoambatana na kumiliki ndege. ni jukumu la ljd kupima hizo challenges na kuona kama zinatosha kumfanya abadili malengo yake na badala ya ndege awaze kitu kingine. hata hivyo sio vibaya kuota kwani "asiye na ndoto ni sawa na mfu" lol.
ila majibu ya ljd kuhusu hoja hapa ndio nimechoka kabisaa. kwa kweli majibu yake ndio yamenifanya niisome hii thread kuona kama reaction yake ni sawa. binafsi nadhani hajaitendea vyema jf katika ujumla wake.
KAFARA,
Nia yangu ilikuwa rahisi tu, kushea nae changamoto zilizopo kwenye aviation industry!...Haitakiwi kutumbukiza mguu huko kabisa kama hukujipanga sawasawa.
Ukiacha mbali mfano wa live niliompa, kuna kampuni maarufu ya juzi hapa tu iliyoitwa COMMUNITY AIRLINE!...Yeye mwenyewe anajua ilidumu kwa siku ngapi, kabla ya ku'retreat na kurudi kwa gea ya tofauti. Hii ni pamoja na kujitangaza saana kwenye kila media inayomilikiwa na Diallo!
Mshahara wa Pilot mmoja wa ndege jamii ya dash8(ambayo ndo ameipenda), ukiacha mbali allowances za kulala nje(night stops), risk allowances etc, haupungui dollar 4,000/= kwa mwezi!
Kwahiyo, vitu ndo kama hivyo hapo.
Nadhani ni sahihi tu kujua cost-benefit analysis ya undertake yoyote katika dream ya mtu ..
Its just for God-sake!
Katika maisha kuna malengo ya muda mfupi na malengo ya muda mrefu. Pengine hayo ni malengo yake ya muda mrefu na tusimkatishe mtu tamaa kwa yale anayotaka kuyafanya. Mimi ninaona ni malengo mazuri tena sana kwa msanii kama yeye kuwa na hayo malengo (ni mfano wa kuigwa). Kuzaa au kutozaa ni neema ya Mwenyezi Mungu.
Na kweli ni malengo ya muda mrefu baada ya kufa kwake !!!!!!
wtf!form four zanaki
Tutasema amejitahidi......... na tutampa hongera kwa vile tutaamini kuwa amefuatilia kwa makini tuliyomueleza...........Anaweza kununua kabla hajafa, sijui mtasemaje!!!
Du maneno kama haya hayafai kwa nini asiweze kwani waloweza wana nini?as far ni hardworking woman na pesa inaingia na anazidi kuisaka atanunua tu.Asifanye mchezo, huyu, hataweza...Ndege si kama Machozi Band, ambayo unaweza kuiendesha kwa kuwakopa wapigaji..huh!
Lau angejua gharama ambazo ndege inakula asingetamka hilo, labda kwa kujifurahisha tu.
Mkuu kwanini mnahisi atakuwa Gardner au Jay dee mwenyewe? kwakuwa amekuwa positive au kawapasha ukweli wenu? mi nadhani wengi mnakurupuka someni post muielewe ndiyo mtoe comments zenye kina na sii ilimradi comment....Mi nafikiri hoja ilikuwa ni kwamba hizo ni wishes zake tu na kila mtu ana wishes zake...wish siyo lazima ije itokee kweli,ni kujipa changamoto ya maendeleo....ni kama kusoma nyota yako magazetini.Wewe utakuwa GADNER G. HABASH AU LADY J DEE mwenyewe. Naona point zako zimelala DORO.
well said dear first lady ni ndoto zake na atazitimiza kwa wakati wake, what we need is to wish her al the best, kwenye wimbo wa mawazo aliwahi kuzungumzia kuwa anawaza kuendesha freelander na alikuja kuliendesha kwweli, waimbaji wangapi ni ma chapombe tu hata baiskeli hawana???!!!! leo kaanza kuwa na wazo la kuwa na Air machozi huenda Mungu akamjalia ndoto zikawa kwelilabda ndo dream zake ,kasema anatamani kuwa malaika na sasa anatamani ndege all ze best jeydee
kanda mbili2 umenikosha,jide huna uwezo wakunua ndege hata hao majizi wa madini yeyu hawana uwezo wakumiliki ndege ila baada ya kutuibia madini yetu ndio wamenunua ndege,au mnatutangazia kama mlipelekwa na kurudishwa kwa ndege,hamtakiwi kufurahi mnatakiwa mlie kwa nchi yenu inavyoibiwa,hiyo ndege imepaa kwa hela za madini yetu.hii post kaiweka Gadner? sioni mantiki yoyote au mlitaka tujue jinsi mlivyopanda ndege ya hao wezi wa madini yetu??????????