Yawezekana The Boss ndo Jay Z mwenyewe....wonders never ends my dear!!
Kwenye thread ya kumpongeza Jay-Z kwa kupata mtoto The Boss alisema Jay-Z hajui kiswahili. Au alikua anatupoteza tu? lol
The Boss, are you Jay-Z?
Mchoyo sana The Boss, anajua watu wakijuwa huo usumbufu itambidi ahame au abadili jina hapa JF, so hasemi,ila kuna mtu ndo alimfundisha kiswahili na mwingine ndo anamtafsiria akishindwa kabisa waliniambia....mnaishi na mastaa hapa, mimi mwenyewe Gabrielle Union si unaona sipendi kusema, Jf tamu bwana....!!
Dahhhh The boss atakuwa the Most talented person ever lived..
1. Denzel washington
2. Shawn Carter
3.
Bado naendelea kuhesabu ...
We unafikiri kwanini Kongosho na mimi tunamsumbua?? talent my dear...lolest!
Hivi nikikwambia mimi ni Adriana Skleranikova (Adriana Karembeu) unaweza kubisha ila ukweli ndio huo. lol
We unafikiri kwanini Kongosho na mimi tunamsumbua?? talent my dear...lolest!
Na wewe unamsumbua? Basi anzisheni fan club. lol
hahahahahahahah lol haya bana
we sikuwezi unaruhusiwa kumsumbua lakini
huruhusiwe kwenda next stage sababu ntalia mpaka siku JF inafungwa..
Hahahaha, kuna members wengine wawili najua watakua very interested. Mipango ikiwa tayari nambie niwape contact zenu. hahahahaWazo zuri...ngoja nikamilishe divorce na Hashycool then nifanye hivyo....media scrutiny itaniua nikianza fanclub sasa....lol
Wazo zuri...ngoja nikamilishe divorce na Hashycool then nifanye hivyo....media scrutiny itaniua nikianza fanclub sasa....lol
Hahahaha, kuna members wengine wawili najua watakua very interested. Mipango ikiwa tayari nambie niwape contact zenu. hahahaha
Mi napenda tu kumtania si unajua wanaume wapole wapole inabidi kuwachangamsha kidogo,sitavuka mipaka....next stage alifika yule shemeji yako unayempenda tu....JF haitafungwa jamani,usiseme hivyo,naogopa,nitapata wapi ku-flirt na Jay Z mie??
What... ???????umenifanya nidondosho chozi
Kweli aisee, hatujui siku wala saa...Jamani,ungenipa tu hizo contact niweke kwenye directory yangu,siku ya siku iwe rahisi bwana!! unaweza pia usiwepo siku iyo...lol
Haya sasa ngoja nifute chozi..
hii ni zawadi yako sababu you just put a smile on my face..
asante...
Kweli aisee, hatujui siku wala saa...
Nitakupa kama The Boss ataniruhusu basi.
Unajua unanishangaza sana dear, wewe unataka mi nifanyeje? kama yeye ana play mind games nifanyeje?? mi nae binadamu..kha!
Michelle
amerudi, amekiri kosa, amekulamba miguu, anatumia mbinu zote kwenye kitabu kuomba msamaha..
but unaendalea kumkatisha tamaa.. Mwanaume anajiona so useless. because of your negativity.
Now don't get me wrong , im not saying this is your fault .. all I'm saying is please just listen to what he
want to say, kaaa chini fikiri kwa undani zaidi.. He LOVES YOU.... Please. Kila wakati unamkatisha tamaa
anaondoka kuwaza nini afanye next.. He is not playing any mind games with you baby girl..
Keep smiling dear....the best is yet to come...i hope you love the next one....lol