After having "4:44" I tried to compare it with "life is good"(2012) and "distant relatives" (2010)of Nas.Nilifikiri album ya mwisho ya Jay-Z ndiyo ilikuwa mbaya kuliko zote.
Hii imeipita ile ya mwisho kwa kukosa clever rhymes despite the somewhat passable production.
Nikisikiliza naona bora nimsikilize Hov wa 2000 kurudi nyuma.
And that's from someone who likes Hov.
Tatizo ni kwamba he is waaay past his prime na akitoa kitu tunalinganisha na kazi zake za awali, kinapwaya sana.
Kwa sasa atauza tu kwa sababu ya jina, ila ku spit anakuwa kama kachoka tayari.
After having "4:44" I tried to compare it with "life is good"(2012) and "distant relatives" (2010)of Nas.
Finally, Nas is a big deal [to me].
Ila kwa alivyozungumzia humo attention ya Dunia itakuwa kubwa saana.
Hili ndilo cooper huwa hapendi kuliskia.Bars za Nas zimeenda shule.
Jamaa hadi huwa anaalikwa kutoa mihadhara kwenye vyuo.
Kiss said "Controversy sells, but it ain't like death".Ndo maana nikasema sitaki kuwa prisoner of the moment.
Na kitu ambacho labda kitawashtua watu ni hizo shades alizorusha...
I mean....hata Rev. Al?
What's up with them two?
Kwa Future sasa nimeelewa kwa nini kamrushia shade.
Future aliwahi kunukuliwa akisema Hov hakuwa hot in 96 kwa sababu alifunikwa na Biggie na Tupac.
Ila Rev. Al?
You're still not answering my question.
How have I not listened to the song and album based on what I said?
If you can't give a straight answer just say so.
Hili ndilo cooper huwa hapendi kuliskia.
Kiss said "Controversy sells, but it ain't like death".
Hov anaona ku diss hivi vi rapper si level yake, anaona kavuka level ya rappers, sasa Gotham katika black community Rev. Al ni kama Pope.
Na tangu enzi za Roma, ukitaka kuzungumziwa, mrushie mawe Pope.
Hii album ya Hov imenifanya nimuheshimu zaidi Biggie alivyosema "Problems with my wife don't discuss them".
Hov amekuwa kama bitchnigga anayezungumzia matatizo yake na mkewe kwenye album ili apandishe mauzo ya album na ku promote mtandao wake wa muziki.
To bad Nas is in a hiatus. Ila nategemea atoe kitu cha tribute to his man Prodigy.
Hizi album za sasa mimi naona takataka tu, najaribu kumsikiliza Kendrick Lamar katika DAMN naye hata sioni watu wanachomsifia nini.
Labda mimi ni OG wa zama zilizopita tayari. Right from the age of "Bigger and Deffer" and "Walking With A Panther" when rappers used to spit like they were hungry.
Yaani nikisikiliza this garbage that's coming out now, halafu niende kusikiliza "Walking With A Panther" naweza kulia.
Nimeweka link ya "Walking With A Panther" vijana wanaokua leo kama hawajasikia vitu vya golden age wasikilize.Ndo maana nikashangaa kwa nini kamdiss Future.
Na hata sababu sikuijua.
Eric Benet tayari keshamjibu.
Future sina uhakika kama keshajibu au la.
Pill [Bill] Cosby sidhani hata kama anajua kuna album mpya ya Hov.
Rev Al nadhani atapotezea tu.
I miss the days of the Kool G Raps...Sadat X...Lord Jamal...the whole Brand Nubian crew.
Here are your quotes..
Not sure why Future, though.
"In the Future, others niggas playin' football with your son".
That's a direct shot at Future regarding his situation with Ciara and Russell Wilson.
In the song it goes, /I don't even know what you woulda done, in the future other n!ggas playing football with your son/. And it's not much of a diss to Future but more of art and a (self) warning. You quoted that flip of the line wrongly, and you asked a question no rap fan would, more so not one who has listened to the song.
Do you know the difference between these two words, "god" and "God"?**** he's not a god ....he's bitch from new York ...big satann
Thnx DevonWill send you the whole album soon
Nice
Umenikumbusha nilikuwa nangalia video ya Nas kakaa na mama mmoja wa Harvard nafikiri ni Profesa wa mambo ya literature, mama anamhoji Nas kuhusu ushairi.Bars za Nas zimeenda shule.
Jamaa hadi huwa anaalikwa kutoa mihadhara kwenye vyuo.
Ndo maana nikashangaa kwa nini kamdiss Future.
Na hata sababu sikuijua
You totally, clearly, and absolutely misconstrued me.
I wondered why he had to take a shot at Future. It is a shot at Future...thats my opinion and the opinion of many others.
At the time, when I posted that post I didn't know Future had said something about Hov.
So I just wondered why he had to throw that subliminal shot at him.
The same why I'm wondering about why he went at Al Sharpton.
Sometimes it's best to ask what someone meant instead of just reaching wrong conclusions.
I was stuck in Friday traffic for over an hour yesterday. And I did nothing but listen to the whole album while in the car.
And you say I haven't listened to the song and the album just because I wondered why he took a subliminal shot at Future?
Hahahaaa.
Thanks!Future alimdiss kiaina Jay-Z kuwa "Reasonable Doubt" haikuwa hot mpaka Tupac na Biggie walipofariki. Akaendelea kusema Nas' "If I Ruled The World" ilikuwa maarufu ilipotoka tu, haikuhitaji muda. Walikuwa wana-discuss na Dj Ebro, Lebron na Kevin Durrant kwenye "Barbershop Rap Battle".
Reasonable doubt na Illmatic zote ni 5-mic albums, ila ki-ukweli Jay ali break-in a bit late.
And that's where I said you ain't that much a fan of the culture. Flipping lines on, or dissing each other is part of the game. You ridicule or outsmart each other with poetic words, it's how the game was built. It doesn't necessarily mean you got problems.
Hov meant to give y'all game on how if you mess up your family, other dudes will step in and be the daddy you should've been. Future just happened to be a good reference, hence the pun. There's nothing more to it but art, and it has to be celebrated. Raps fans went damn!, not why.
And if you knew Hov, you wouldn't be surprised for that one as he's been doing it for a minute. Truthfully I wanna rhyme like Common Sense, (but I did 5 mil) I ain't be rhymin like Common Sense.
Producer No ID, the same dude that laid all tracks for 4.44 album. He's the one who produced "Daughters" by Nas.No bro, I'm always open kwa anayetaka kunipa shule ya Nas. To dumb down for the sake of everybody else, yeyote anionyeshe through bars where Nas has ever given them jewels that are relevant in their lives. Anyone.
Cc Nyani Ngabu