Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
- Thread starter
-
- #21
Hivi hizo id mpya unadhani ni mpya kikweli kweli? Wewe hushangai mtu anajiunga leo leo na anajua id zote humuTehteehhh nachokifanya huwa naangalia ID aliyepost ana mdagani kwenye hiki kijiwe...kisha namcheki nasema hiiiii
Only a Strong Bromke wa mtu huyu
Mdomo wangu umebaki waziHii ndio imekua new fashion Jf skuizi... tehteehhh
Haya nikupeni hongera na nimewatakia kila la kheri
Lazima una undugu na kina fally ipupa...Ehh Jolie Bebe....
Emolo...
Pepe Kalle....
Dilou Dilou Mona.....
Papy Tax...
Bileku Djuna Mumbafu Mpasi
Hahaha Shunie
NakaziaWee jamaa utakuwa muha..
Teh tehAisee naona watu mnafungukiana kupitia huu uzi
Kunywa soda najaUnyenyekevu lazima mbele ya puchi au uanataka ucku nisipewe mkuu?
I miss uMngh
kafanyaje shunieHahaha Shunie
Mleta uzi amekuimbia nyimbo ya kukulana.... tehteehhhMdomo wangu umebaki wazi
Namuita aje aone ujumbekafanyaje shunie
Mleta uzi amekuimbia nyimbo ya kukulana.... tehteehhh
Thank u so much my hubby.Nakupenda unanipenda tunapendana.Mi wako tu siku zote,we ndo mwanaume wangu pekee ninaekupenda kwa dhati,sikuachi na siwezi kukuacha kamwe,nakupenda leo,kesho na siku zooooteeeeeNaomba dua, pendo liendelee
Lisije likaungua, kwa maneno lipotee
Nitaomba samahani, makosa unisamehe
Siunajua
Hali yangu temeze
Usisikie maneno ya watu
Ukaniacha mimi
Mwenzio mi nitapoteza
Jua nakuamini
Kelele na maneno ya fyatu
Usitie akilini
Mwenzio mi ngumu kumeza, sio mboga sabini
Wajinga hawataki ibaki kismati mi nipate raha aaaah
Wanaanda kamati
Minuno ya kila saa
Isengwembaka bas eti kisa ashuo
Fujo kila saa aaah
Simu zao za smati
Mapicha ya kila saa aaah
Hook
Mamy uridhike na goroka
Usije we ukanizuga
Na penzi letu game la nyoka
Angalia usije gonga
Mamy ridhika na goroka
Usije we ukanizuga
Na penzi letu game la nyoka
Angalia usije dunda
Chorus
Mi nakuzimia aaaah sana
Oooh ouuuo aaah sana
Iyaga iyooo aaah sana
Uooh ouuuo aaah sana
Mi nakuzimia aaah sana
Iyeyee iyeee aaah sana
Iyaga iyoo aah sana
Uooh ouoo aah sana
Mi nakuzimia aaaah sana
Oooh ouuuo aaah sana
Iyaga iyooo aaah sana
Uooh ouuuo aaah sana
Asante sana bby,i love u moreThank u so much my hubby.Nakupenda unanipenda tunapendana.Mi wako tu siku zote,we ndo mwanaume wangu pekee ninaekupenda kwa dhati,sikuachi na siwezi kukuacha kamwe,nakupenda leo,kesho na siku zooooteeeee