Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Fashion ya nini? nyie jifanyeni wagumu sisi wacha tuimbe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ndio imekua new fashion Jf skuizi... tehteehhh
Haya nikupeni hongera na nimewatakia kila la kheri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kilingalaEhh Jolie Bebe....
Emolo...
Pepe Kalle....
Dilou Dilou Mona.....
Papy Tax...
Bileku Djuna Mumbafu Mpasi
heheheheHii ndio imekua new fashion Jf skuizi... tehteehhh
Haya nikupeni hongera na nimewatakia kila la kheri
Wee jamaa utakuwa muha..Ehh Jolie Bebe....
Emolo...
Pepe Kalle....
Dilou Dilou Mona.....
Papy Tax...
Bileku Djuna Mumbafu Mpasi
Subiri ajee mkuu
Na ucha wako wote unaomba papuchi kwa kupiga magoti???Naomba dua, pendo liendelee
Lisije likaungua, kwa maneno lipotee
Nitaomba samahani, makosa unisamehe
Siunajua
Hali yangu temeze
Usisikie maneno ya watu
Ukaniacha mimi
Mwenzio mi nitapoteza
Jua nakuamini
Kelele na maneno ya fyatu
Usitie akilini
Mwenzio mi ngumu kumeza, sio mboga sabini
Wajinga hawataki ibaki kismati mi nipate raha aaaah
Wanaanda kamati
Minuno ya kila saa
Isengwembaka bas eti kisa ashuo
Fujo kila saa aaah
Simu zao za smati
Mapicha ya kila saa aaah
Hook
Mamy uridhike na goroka
Usije we ukanizuga
Na penzi letu game la nyoka
Angalia usije gonga
Mamy ridhika na goroka
Usije we ukanizuga
Na penzi letu game la nyoka
Angalia usije dunda
Chorus
Mi nakuzimia aaaah sana
Oooh ouuuo aaah sana
Iyaga iyooo aaah sana
Uooh ouuuo aaah sana
Mi nakuzimia aaah sana
Iyeyee iyeee aaah sana
Iyaga iyoo aah sana
Uooh ouoo aah sana
Mi nakuzimia aaaah sana
Oooh ouuuo aaah sana
Iyaga iyooo aaah sana
Uooh ouuuo aaah sana
Unyenyekevu lazima mbele ya puchi au uanataka ucku nisipewe mkuu?Na ucha wako wote unaomba papuchi kwa kupiga magoti???
naona mfungukaji katumia lugha ya malikia..ujumbe utafika kweli?Aisee naona watu mnafungukiana kupitia huu uzi
Ngoja nami nije nimuandikie FaizaFoxy kanyimbo... tehteehhhFashion ya nini? nyie jifanyeni wagumu sisi wacha tuimbe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tehteehhh nachokifanya huwa naangalia ID aliyepost ana mdagani kwenye hiki kijiwe...kisha namcheki nasema hiiiiiHii ndio imekua new fashion Jf skuizi... tehteehhh
Haya nikupeni hongera na nimewatakia kila la kheri
mke wa mtu huyu
Hahaha atakutunuku siku hyo hyoNgoja nami nije nimuandikie FaizaFoxy kanyimbo... tehteehhh
Kijana upoMngh