Boss endelea kutoa elimu tafadhali.. ni hasara sana kuendelea kubishana na watu ambao hawawezi kuandika mstari hata mmoja wa java.. Nimefurahi sana kusoma andiko lako. Twende mbele, achana na hao ma distractorsUnakuta nyumba , inajengwa unaanza kukosoa Inamuunekano mbaya hujui itakuwaje ikiisha si kukosa , baadhi ya vitu, Kuna mahali umekuta natangaza hiyo Product???
Boss endelea kutoa elimu tafadhali.. ni hasara sana kuendelea kubishana na watu ambao hawawezi kuandika mstari hata mmoja wa java.. Nimefurahi sana kusoma andiko lako. Twende mbele, achana na hao ma distractors
Capital
Class Me{
public static void main(Strings [] arg){
System.out.println("Binadamu Mtakatifu");
}
}
Hamna nawatisha tu, nimependa unavyoshirikiWewe ni next level !!!!
Wabongo mna shida gani?Inamuonekano mbaya kuliko Ex wangu page hazina constant layout
Si ndicho alichosema?Hizo ni js code sio java code ambazo muandishi anazungumzia
Uongo uko wapi?Uongo huyu anafundisha Java sio Javascript (hivi ni vitu viwili tofauti)
mimi katika kazi zangu zianzi na kulemba , ulinisema,,,,,, nikaona huenda mwenye nayo anajiskia vibaya ajue mtaalamu hajiwezi nikamtengea muda kidogo kuifanya UI,,,,,,, vipi hii nayo Dental Clinic ni Mbaya???, wewe ni mzee wa FrontendHamna nawatisha tu, nimependa unavyoshiriki
Mimi ni backend developer ila hii unetumia template au hukulala?mimi katika kazi zangu zianzi na kulemba , ulinisema,,,,,, nikaona huenda mwenye nayo anajiskia vibaya ajue mtaalamu hajiwezi nikamtengea muda kidogo kuifanya UI,,,,,,, vipi hii nayo Dental Clinic ni Mbaya???, wewe ni mzee wa Frontend
Acha kiherehere kwani unaninunulia bando mpaka unipangie jinsi ya kujibu lastly ni kwamba umekurupuka kasome tena madaWabongo mna shida gani?
Kama unaona UI haikubambi si unaeleza tu kwamba angefanya hivi, angerekebisha hapa ingekuwa vizuri zaidi?
Si ndicho alichosema?
Uongo uko wapi?
Mtu kaanzisha uzi wa kuelimisha, wewe unaleta ujuaji.
Kama unajua zaidi si ungeanzisha uzi pia tujifunze kwako kuliko kukosoa bila hata utaratibu?
Mimi Huwa na Shughulikia zote (Backend & Frontend) , Ila bado iko jikoni imekamilika 75% japo wanaendelea kutumia, Ilinichukua Muda kidogo React Typescript-Vite , Material UI ,Mimi ni backend developer ila hii unetumia template au hukulala?
Ipo poa
Uhuru wako usikufanye uwe kama kuku aliyekatwa kichwa. Kuwa mstaarabu kama kweli umeelimika.Acha kiherehere kwani unaninunulia bando mpaka unipangie jinsi ya kujibu lastly ni kwamba umekurupuka kasome tena mada
SawaUhuru wako usikufanye uwe kama kuku aliyekatwa kichwa. Kuwa mstaarabu kama kweli umeelimika.
Am not js funMimi Huwa na Shughulikia zote (Backend & Frontend) , Ila bado iko jikoni imekamilika 75% japo wanaendelea kutumia, Ilinichukua Muda kidogo React Typescript-Vite , Material UI ,
Ui natumiaga plain HTML, tailwind na jquery but lately natumia Vuejs na tailwind Doneebu nipe uzoefu wako , Interfaces unatumia zana gani?????
Mkuu shirikianeni kufundisha watu wapate ujuzi ni hayo tu..Java:Class Me{ public static void main(Strings [] arg){ System.out.println("Binadamu Mtakatifu"); } }
WAPI SIWEZI KUANDIKA HATA LINE MOJA YA CODE HEBU NICHAMBULIE MAANA YA EACH KEYWORD KWENYE CODE ZANGJ