Java Paradiso- Installing Eclipse IDE

Java Paradiso- Installing Eclipse IDE

CodeMafia

New Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Eclipse IDE

Kamaunampango wa kuwa computer Programmer, Java paradiso ni sehemu nzuriya kuanzia kwa ajili ya kufikia malengo yako.

Unawezakufatilia vizuri mfululizo huu wa tutorial kama umeshasomaintroduction course ya computer science, lakini kama hukubahatikakupata mafunzo hayo ya awali basi usijali kuanzia hapa.

Tutajitahidikuelekeza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kuanza kutengeneza programzako bila kutegemea msaada wa mtu.

Program(Software) yoyote huandikwa kwenye text editor. Hapa tutatumia IDE(Intergrated Development Engene). IDE ni program maalumu ambayoimeandaliwa kwa ajili ya kurahisisha utengenezaji wa program.

Kulinganana mahitaji ya lugha inayotumiwa na programmer mpaka sasa kumekuwa naIDE za aina nyingi, lakini zinazotumika sana na maprogrammerwanaotumia Java ni Eclipse pamoja na IntelliJ

Katikatutorial hii tutatumia Eclipse IDE.

Jinsiya Kudownload Eclipse na kuInstall kwenye komputa yako

1. Fungua: Eclipse Downloads au
Bonyeza Hapa

new.png
Jaribu kuwa makini sana wakati wa kudownload Eclipse kwasababu zipo za aina nyingi sana. Hivi ni vitu vya kukagua wakati wa kudownload.

Namba moja: Hakikisha Eclipse unayodownload ni Standard Vision tizama namba moja kwenye picha.

Namba mbili: Hakikisha unadownload Eclipse kulingana na aina ya windo unayotumia tizama namba mbili kwenye picha.

Namba tatu: Hakikisha unadownload vision sahihi kwa ajili ya window yako 32 bit/ 64 bit. tizama namba tatu kwenye picha.

2. Baada ya hapo Double click software uliyo download, kisha fata installation wizard rahisi kabisa.

3. Fungua IDE yako na itaonekana kama hivi.

home Eclipse.png
 
Back
Top Bottom