Tunapatikana Ubungo Riverside, mtaa wa Maasaimnapatikana Wapi
Usiogope. Hii ni kozi ya watu kama wewe alimradi ukidhi vigezo viwili vilivyotajwa kwenye hiyo PDF: (1) Kujua Kiingereza cha kutosha kuwasiliana na mwalimu (2) Uwezo wa kutumia Kompyuta kwa matumizi ya kawaidamaana wingine tukisikia Programing na Java Hzo, huwa nahisi kama nimeongezewa miaka ya Kuishi. Maskini wake hata kimoja Sina ujuzi nacho
Foundation of Java - $100 kwa wale walio nje ya Tanzania na 200,000Tsh kwa waliopo Bongo.Gharama zikoje?
Katika vigezo vyote umri hakipo. Maadam Kiingereza cha kuelewana na mwalimu kipo na unajua kutumia kompyuta kwa matumizi ya kawaida basi unaweza kujifunza.Mkuu, ebu nijuze kama kuna limitation ya umri katika kozi hii. Napenda sana programing ingawa naona lama umri umeenda vile...
Ngeli ipo kichwani mkuu, Laptop kwa matumizi ya nyumbani Nipo Fresh Kabisa.Tunapatikana Ubungo Riverside, mtaa wa Maasai
Usiogope. Hii ni kozi ya watu kama wewe alimradi ukidhi vigezo viwili vilivyotajwa kwenye hiyo PDF: (1) Kujua Kiingereza cha kutosha kuwasiliana na mwalimu (2) Uwezo wa kutumia Kompyuta kwa matumizi ya kawaida
Hayo mengine utafundishwa. Usiogope kwa kuwa hata manguli unaowaona hawakuzaliwa wanajua. Kuna mahali walilipa gharama ya kujifunza na ndio wako hapo!
Karibu sana. Ila masomo yanafanyika online kwa kutumia special Platform. Hakuna tofauti na darasa la kawaida isipokuwa hautahitaji kuja na kurudi wala kupoteza muda kwenye foleni. Unasoma popote ulipo. Na ikitokea umechelewa kipindi au umekosa muda kwa siku hiyo, basi utakuwa na nafasi kwa kipindi fulani kuicheza recorded session kujua pale ulipokosa.Ngeli ipo kichwani mkuu, Laptop kwa matumizi ya nyumbani Nipo Fresh Kabisa.
Ngoja nifanye utaratibu niwasogelee hapo.
ni vyema ukafungua uzi mpya wenue swali lako halafu tukasaidiane huko. Weka na hizo code zako kwenye huo uzi ufumbuzi utapatikana hukoMkuu naamini uko vizur kwenye hyo ishu, nlikuwa nacode java natumia netBeans ila kimbembe kipo kwenye ku insert data kwenye database code hazna errors lkn cha kushangaza data hazifiki, servlet pia nimeconnect nayo fresh sasa sjui nazingua wap
online classroom live na mwalimu. Ni kama darasa la physical but linakuwa online.Mfumo gan unatumika kufundishia? Classroom? au? Online?