Baada ya kumaliza tunatarajia:Nini matarajio yangu Baada ya kumaliza mafunzo haya?
Yes. Ila huwa tunakwenda serially na pia huwa tunaangalia interest ya watu katika Kozi husika. Katika Pool ya Languages, pamoja na Java tuna Python, C/C++, Swift, PHP na Elixir. Pia tunafundisha Shorter Courses kama Git SCM, SQL and DBMS, Secure Rest APIs na nyingine nyingi. Unaweza kuni PM email yako na kozi ambazo uko interested ili uweze kuwa alerted ratiba ikiwa tayari hata kabla haijaenda publicMkuu huwa mnatoa na course nyingine. (C,C++,python)?
Download Adobe reader uitumie kuifungulia au apps yyte inayoweza kusoma pdfhiyo PDF mbona haifunguki...naitaji kusoma hiyo kitu
Browser zote zinaweza kufungua PDF files. Ila kama bado inasumbua Jaribu yeyote kati ya hizi. Kama bado unapata shida, nitumie PM nikusaidie. Hii ni kwa yeyote anayepata tatizo hili!Download Adobe reader uitumie kuifungulia au apps yyte inayoweza kusoma pdf
Siwezi kusema kwa sababu ni project za kampuni na tuna mikataba ya kutunza faragha, ila kifupi ni kuwa project mojawapo ya hivi karibuni itatumika nchi kama Tatu za East Africa. Sitatoa details kwa sababu tajwa!Naomba kufahamu kama hutojali.
Wewe mwenyewe umeshafanya na kushiriki project zipi zilizofanikiwa na zinatumika?
Vigezo kwa Foundation of Java ni kujua Kiingereza basic kiasi cha kuweza kuwasiliana na mwalimu, na pia ujue kutumia kompyuta. Hauhitaji kuwa unajua kitu chochote kuhusu programming. Ukiwa una idea ya programming hakuna tatizo but sio requirement.Vigezo gani vinatumika? ikiwemo lugha ya ufundishaji ni ipi?? elimu nayo??