Stephen Ngalya Chelu JF-Expert Member Joined Oct 31, 2017 Posts 8,288 Reaction score 18,579 Feb 19, 2018 #1 Nimaona kionjo chake kidogo, ngoma iko poa japo sijajua kama ni official release kwa kuwa Jason hajaiweka kwa page take ya IG. Vijana was WCB wanazidi kuchanja mbuga.
Nimaona kionjo chake kidogo, ngoma iko poa japo sijajua kama ni official release kwa kuwa Jason hajaiweka kwa page take ya IG. Vijana was WCB wanazidi kuchanja mbuga.
Akilidebe JF-Expert Member Joined Feb 18, 2018 Posts 204 Reaction score 124 Feb 19, 2018 #2 Icon ya Tanzania
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,864 Reaction score 23,473 Feb 19, 2018 #3 Ni wimbo wa Jason ft. French Montana upo YouTube, Rayvanny kafanya cover tu
Gucci gang JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,718 Reaction score 5,350 Feb 19, 2018 #5 mbona mond kaipost itakua kweli bwana
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,704 Reaction score 9,926 Feb 19, 2018 #6 PAGAN said: Ni wimbo wa Jason ft. French Montana upo YouTube, Rayvanny kafanya cover tu Click to expand... rayvanny msanii wa kimataifa anaenda kuliteka soko la marekani sasa
PAGAN said: Ni wimbo wa Jason ft. French Montana upo YouTube, Rayvanny kafanya cover tu Click to expand... rayvanny msanii wa kimataifa anaenda kuliteka soko la marekani sasa
Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,350 Reaction score 11,171 Feb 19, 2018 #7 PAGAN said: Ni wimbo wa Jason ft. French Montana upo YouTube, Rayvanny kafanya cover tu Click to expand... Ahahaaaaaaaaaaah... Eti cover..! Ulivyoandika sasa... Yaani kama una uhakika vile..!
PAGAN said: Ni wimbo wa Jason ft. French Montana upo YouTube, Rayvanny kafanya cover tu Click to expand... Ahahaaaaaaaaaaah... Eti cover..! Ulivyoandika sasa... Yaani kama una uhakika vile..!