fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,838
- 2,956
Bridge of Spies
Red Sparrow
Spy Game
Tinker Tailor Soldier Spy
Tailor of Panama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nishazioma hizo zote nazipenda balaaSidhani kama kuna series mkuu nafikiri ni mfululizo tu wa movie za Jason Bourne maana nilizotizama ni
1. The bourne identity (2002)
2. The bourne supremancy(2004)
3. The bourne Ultimatum (2007) na
4.Jason Bourne (2016)
Tusubiri wajuzi watatuambia kama kuna series.
Sent using Jamii Forums mobile app
Single movie, hutojuta kama ni mpenzi wa ujasusi.Zote hizi ni single movie au Series maana sijacheki hata moja hapo mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Utazitafuta! Zipo kama 4-5 iv zinatoka kila mwaka
Huyo jamaa kwenye picha kafanana sana na Yericko Nyerere wa JF.Katika filamu chache za kijasusi nilizotazama nimeona mfululizo wa filamu ya Jason Bourne ni bora zaidi, wadau wa movie za kijasusi kuna movie kali yenye mfanano na huu mfululizo?
View attachment 997512
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemiss sana threads za hutaki acha
Asnte mkuu ngoja nishushe zoteSingle movie, hutojuta kama ni mpenzi wa ujasusi.
Ukitaka series tafuta mission impossible au serial za kipelelezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hiyo tu, mengi aliyaleta hapa na yakawa kweli.Mimi nachojua kuna member mwenzetu alikuwa akijiita Jason Bourne alikuja na uzi wake m1 hivi ukienda kwa tittle ya Utaki unaacha akielezea kisa cha mwakyembe na polenium 210.
Alitushika ile mbaya. Utafikiri movie za bond 007
Sent using Jamii Forums mobile app