Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 918
- 1,099
Chunga sana nguo yenye jasho lako_wachawi wanatafutaga sana nguo yenye jasho lako. Nguo inatumika kukuaribia mipango yako katika ridhiki zako.
• Tuwe na umakini sana na nguo zetu zilizochoka aisee... Wanga awachezi mbali na hivo vitu.
• Kucha/nywele. Jaribu kuvizika.
• Bora nguo kuzichoma kama ujapata watu wenye uhitaji maana wanadamu wako na roho mbaya .
Kwa leo jifunze hayo..Kama uko na maswali njoo inbox... Imeandaliwa na kimodomsafi